Yaani si angejipumzikia tu dah!Wajumbe Walimwambia tutakusaidia kupumzika naona hakuwaelewa vizuri
Fala sana wewe,kifo hakipo dunia hii!?.. ndugai hakuwa mgonjwa!?..mbwa sana nyi wavaa kombatiWatauana sana
Kama Ndugulile tuDODOMA: Spika Mstaafu na aliyekuwa Mbunge wa Kongwa, Job Yustino Ndugai amefariki Dunia, leo Agosti 6, 2025, taarifa ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani, Dkt. Tulia Ackson imeeleza kuwa msiba umetokea Dodoma
Dkt. Tulia amesema Ofisi ya Bunge kwa kushirikiana na Kamati ya Mazishi pamoja na familia ya Marehemu inaratibu mipango ya mazishi na taarifa zaidi zitaendelea kutolewa.
Kwa mabaya aliyomtendea Lissu afe tu kwa kweli; alijua ataishi milele? Yeye na Magufuli wapo wapi sasa? Bado Bibi Chura wa Kizimkazi na Mzee wa Msoga; wakitoboa December nimekaa pale👉👉DODOMA: Spika Mstaafu na aliyekuwa Mbunge wa Kongwa, Job Yustino Ndugai amefariki Dunia, leo Agosti 6, 2025, taarifa ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani, Dkt. Tulia Ackson imeeleza kuwa msiba umetokea Dodoma
Dkt. Tulia amesema Ofisi ya Bunge kwa kushirikiana na Kamati ya Mazishi pamoja na familia ya Marehemu inaratibu mipango ya mazishi na taarifa zaidi zitaendelea kutolewa.
Sisi Sote Ni Wa Mwenyezi Mungu Na Kwa Kwake TutarejeaInnalillah wainaililah rajiun
Wanaccm hawaachiani maji ya kunywa mezani- KikweteFala sana wewe,kifo hakipo dunia hii!?.. ndugai hakuwa mgonjwa!?..mbwa sana nyi wavaa kombati
Maisha yetu mafupi mno broAise
Ova
Mungu anatishaAlieye mnyima mwenzie hela ya matibabu kuondoka bila kutibiwa, tuishi kwa kuoendana hujui kesho ako