TANZIA GE2025 Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia

TANZIA GE2025 Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
1754495527805.png


Aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania na Mbunge wa Kongwa, Job Yustino Ndugai amefariki Dunia leo August 6,2025 akiwa Jijini Dodoma.

Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na ofisi ya Spika wa Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania, taarifa kuhusu taratibu za mazishi zitaendelea kutolewa hivi karibuni
 
Aisee jamani jamani badala ya kuachana na ubunge akalazimisha aisee msg wapo serious na jambo lao la kiinchi
 
Maisha yetu mafupi mno bro
Sana maisha mafupi dear
Enzi kile kigrocery pale makaburini kino kwa mzee maende sahv breakpoint,ndugai alikuwa anasogea sana wao wanatokea pale ndani mwembe jini kwenye zile ofisi,nkajuana naye na wkt huo nafanya clearing vijana wa mjini wkt huo tunatamba,nshamtolea gari zake kadhaa,mara ehh kawa mb mara spika 😄

Kifo kiboko ya mwanadam kweli

Ova
 
Back
Top Bottom