hip hop uchwara
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 6,853
- 4,552
Rip
Yaani nyinyi mbwa ikiwezekana mfutwe kabisa,mimi si pro-ndugai,lakini kwa nini ushangilie kifo cha mtu!?..sikua pro-magu,sikushangilia kifo chakeWe takataka kweli,na wewe ukifa titashangilia vilevile,wauaji wakubwa nyie
Vifo vyenu vinauma ila vya wavaa kombati mnashangilia. KUFENI TU WAJINGA NYIE IKIWEZEKANA UKOO WENU WOTE UFE.
Naona samia kapewa meseji ya onyo.Aisee jamani jamani badala ya kuachana na ubunge akalazimisha aisee msg wapo serious na jambo lao la kiinchi
Kabisa yan wasizue taharuki mitandaoniHawa wanapo-kufa tutasema "kifo ni kifo tu" halafu tunaendelea na mambo yetu.Hatutalia abadani!
Nani alikua nyuma ya vifo vya babu zako?Nani yuko nyuma ya hichi kifo cha ndugai??
Tetesi za JamiiForum, naanza kuziheshimu
Uzuri mitandaoni kuna kumbukumbu zote.Hivi Lema alimsemeaje huyu? Ebu tukumbushe. Apumzike kwa amani spika mstaafu aliyeondolewa kwa kuwa mkweli
Halafu mungu hapa ndo anapoudhi.Analera sana SIKUI YUPO?Hawa wanapo-kufa tutasema "kifo ni kifo tu" halafu tunaendelea na mambo yetu.Hatutalia abadan!
Maisha ya hapa Duniani ni ya kupita.... zike kauli za kejeli za kuwatoa kina Sugu Bungeni hadi kuwachania sukuari kwishaaa!!Inasikitisha sana
Red blackNani yuko nyuma ya hichi kifo cha ndugai??
Hiki kipindi kigumu mnoKusema kapelekwa asilete usumbufu,baba mkuu.
Huwezi kuibadili dunia wala watu,wapotezee.Yaani nyinyi mbwa ikiwezekana mfutwe kabisa,mimi si pro-ndugai,lakini kwa nini ushangilie kifo cha mtu!?..sikua pro-magu,sikushangilia kifo chake
Alisemaje?!Hivi Lema alimsemeaje huyu? Ebu tukumbushe. Apumzike kwa amani spika mstaafu aliyeondolewa kwa kuwa mkweli
We mbwa koko akili zako afadhali mavi ya mbwa. Nawe utakufa km mende.Watauana sana
Wazee wa Polonium(kichupa cheusi) wameshaanza kazi!!
Aliyewahi kuwa Spika na aliyekuwa Mbunge wa Kongwa, Job Yustino Ndugai amefariki Dunia, leo Agosti 6, 2025, taarifa ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani, Dkt. Tulia Ackson imeeleza kuwa msiba umetokea Dodoma
Dkt. Tulia amesema Ofisi ya Bunge kwa kushirikiana na Kamati ya Mazishi pamoja na familia ya Marehemu inaratibu mipango ya mazishi na taarifa zaidi zitaendelea kutolewa.
WASIFU MDOGO WA JOB NDUGAI
Alizaliwa Januari 21, 1963 na kupata elimu ya msingi kutoka Shule ya Msingi Mtare kuanzia mwaka 1991-1997. Alianza elimu ya Sekondari ya Kibaha mwaka 1978-1981 na kumalizia Shule ya Sekondari Old Moshi kuanzia 1982-1984.
Amesoma Stashahada ya Usimamizi wa Wanyamapori kutoka Chuo cha Mweka kuanzia mwaka 1986-1988, kisha Shahada ya Kwanza kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (1989-1993).
Amesoma Post Graduate kutoka Chuo cha Kilimo nchini Norway kuanzia 1994-1995 na kusoma Shahada ya Umahiri kutoka chuo hicho (1995-1996).
Safari yake ya elimu iliishia Eastern and Southern African Management Institute ambapo alisoma Shahada ya Umahiri katika Usimamizi wa Biashara (2005-2008)
Amekuwa Mbunge wa Kongwa kwa miaka 25 sasa (tangu mwaka 2000) na ameshika nafasi mbalimbali ndani ya kamati za bunge.
Alichaguliwa kuwa Spika wa Bunge Novemba 17, 2015 baada ya kupata kura 254 kati ya 365, na mpinzani wake Goodluck Ole Medeye kutoka CHADEMA akipata kura 109, huku kura mbili zikiharibika. Kabla ya hapo alihudumu kama Naibu Spika wa Bunge tangu mwaka 2010.
Katika uongozi wake wa bunge, mambo kadhaa yameibua mjadala mkubwa ikiwemo sakata la wabunge 19 wa CHADEMA wanaodaiwa kuvuliwa uanachama wao, na kuhojiwa kwa baadhi ya wabunge akiwemo Josephat Gwajima na Jerry Muro kwa madai ya kushusha hadhi na heshima ya bunge.
Suala jingine ni kumtaka mmoja wa wabunge aliyedai amevaa nguo zisizo za staha kutoka ndani ya ukumbi wa bunge. Uamuzi huo ulikosolewa vikali, wakosoaji wakieleza kwamba vazi la mbunge huyo halikuwa na tatizo. Karibuni, amezua mjadala tena kwa kusema Tanzania haitakiwi kukopa ili kufadhili miradi ya maendeleo.
Mbali na ubunge, amefanya kazi sehemu nyinginezo ikiwa Wizara ya Maliasili na Utalii, Pori la Akiba Selous na Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI).
Januari 6, 2022 amejiuzulu nafasi ya Uspika kutokana na sababu binafsi na kwa hiari yake.
Ndugai ni mume wa Fatuma Mganga.
Kifo sio malipo. Siku unakufa utakuwa unamlipa nani? Kama mtu anafanya ubaya adhibitiwe akiwa hai, wema nao wanakufa.Unyama ambao Ndugai alimfanyia Lissu umeusahau? Malipo ni hapa hapa, bado wawili