macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,500
- 61,451
May be, kuna uwezekano kabisa.... japo nasikia mtu mwenyewe ni mgonjwa wa siku nyingi....'Wanamtandao' strike again !
May be, kuna uwezekano kabisa.... japo nasikia mtu mwenyewe ni mgonjwa wa siku nyingi....'Wanamtandao' strike again !
Malipo ni hapa hapa duniani.Maisha ya hapa Duniani ni ya kupita.... zike kauli za kejeli za kuwatoa kina Sugu Bungeni hadi kuwachania sukuari kwishaaa!!
Tenda wema, jisafishie maisha yako ya milele - toa haki acha kutumia madaraka kuwanyamyasa wenzako.
SOMO: Wote tumo safarini - tenda HAKI katika haya maisha mafupi ya Duniani uliyopewa na Muumba mbingu na nchi.
Huyu mzee wamepita naye.. Ngoja nisubiri report ya postmortemKifo kawaida tu , bwashee 🤔 hata mimi nikifa I'd yangu ikiwekwa irp naomba mpotezeee tu bwashee
Mkuu watu wapo kazini tangu juzi kwenye kura za maoni waliandaa watu wa kumzomea ili tu awipitushwe na wajumbe ! Watu wale wamefanya yao kwa mda uliokusudiaAisee! Utasikia shida ni moyo! Dodoma imefiwa.
Natural deathWatauana sana
Thanks bro and you tooR.I.P Job ndugai.
Labda waume zake walimwingilia kinyume na maumbile hadi akafaAmesikika akiwaambia wapigakura wake yeye ni mke wao huenda alikuwa na shida kichwani
Siku nyingi sana ila alikuwa anajikaza tu huku VIP Treatment nayo ikimbeba. Kisukari kingi na Figo zote Kufa vyote vimemrahisishia Israeli kufanya yake mazima na rasmi leo.Alikua anaumwa?
Wenye jambo wakiamua jambo lao hawashindwi Mkuu.Ila lazima kuna nyoka atakula mkua wake wakubwa kabisa huwa hawauawi.Bado kuna jambo kuu.
Nizidi kwanza pesa na akili halafu nife ,ndio umshukuru huyo shetani wakoTitamshukuru shetani kwa kukutenda
Usiwe na mzuka tulia. Job alikuwa mgonjwa siku nyingi. Usione kama cdm ndio wamepata kijipoint hapaWatauana sana
Ila tutaelewana tu lazima kuna jitu litaanguka tu.Maana isije ikawa.........! Anakumbukwa sana huyu mwamba kwa kuwa mtu wa kwanza kabisa kuwatahadharisha Watanganyika juu ya nchi kupigwa mnada! Na baada yapo kilichofuatia baada ya hapo kilikuwa ni vichambo, na pia kufanyiwa mapinduzi ya kibabe.
Mkuu unafanya kazi Hospitali gani?Siku nyingi sana ila alikuwa anajikaza tu huku VIP Treatment nayo ikimbeba. Kisukari kingi na Figo zote Kufa vyote vimemrahisishia Israeli kufanya yake mazima na rasmi leo.