min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Kawaida tu bwashee kifo hakina mwenyeweHuyu mzee wamepita naye.. Ngoja nisubiri report ya postmortem
Kawaida tu bwashee kifo hakina mwenyeweHuyu mzee wamepita naye.. Ngoja nisubiri report ya postmortem
Mbona hakufa hizo siku nyingi akafa leo.Usiwe na mzuka tulia. Job alikuwa mgonjwa siku nyingi. Usione kama cdm ndio wamepata kijipoint hapa
Wewe uko Mbele🤔🤔 tuliza wengeHili jukwaa lipo nyuma sana, kwa maana hakuna anayejua kuwa Job amefariki?
Job ndugai amefariki dunia
Pesa mi za nini mkuu,akili sina kazi nazo.Nizidi kwanza pesa na akili halafu nife ,ndio umshukuru huyo shetani wako
Madaraka yanalevya sana.Yeye na mwendazake walitaka Lissu asipone au afe kwa msongo wa mawazo wakati anajiuguza. Ndiyo maana walikuwa wanamfanyia mambo ya hovyo
Wote wamekufa wamemwacha Lissu anadunda.
Hata aliyemtengenezea kesi ya uhaini atakuwa atamwacha Lissu.
Hivi ile ngoma yake alipona???View attachment 3434076
Aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania na Mbunge wa Kongwa, Job Yustino Ndugai amefariki Dunia leo August 6,2025 akiwa Jijini Dodoma.
Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na ofisi ya Spika wa Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania, taarifa kuhusu taratibu za mazishi zitaendelea kutolewa hivi karibuni
Kifo ni kifo tuWatauana sana
Na hilo jitu siku likianguka, naamini kuna watu watafanya sherehe kama ilivyotokea kipindi kile.Ila tutaelewana tu lazima kuna jitu litaanguka tu.
Kwa hiyo akili yako ni fupi hata huwezi kujua watu wengine huugua kwa mda. Unaweza kuwa unaugua stress zikitrigal ukafa. Serekali nawaomba rudisheni elimu ya UPE wajinga bado ni wengiMbona hakufa hizo siku nyingi akafa leo.
Unaliuza upuuzi gani wewe chimpumuSpika wa bunge alimfanyia unyama gani mbunge?
Mwamba angeshakufa zamani sema ni hela imemsogeza. Edgar Chagwa Lungu naye wangemruhusu matibabu angeendelea kuishi hadi Leo.Trusted lieutenant wa Jiwe amekwenda
Alishiriki kwenye kumvua ubunge Lissu, ila akaipata karma hapahapa duniani kwa kupigwa chini Uspika.
Tutamkumbuka kwa kauli yake ya “Kwa hii mikopo kuna siku nchi itapigwa mnada”
Mungu ndio anahukumu sio sisi binadamu, Apumzike kwa amani!!
Ukishaijua....!!!!!!Mkuu unafanya kazi Hospitali gani?
Haya mambo ni makubwa sana!!Jk na team yake mnamhofia ndugai ndio mastermind mnaua
Dogo za siku?Haiwezi kua kweli asee, duu imethibitika kweli, shida nini? Mbona ghafra?
Tusubiri mapambio ya wanasiasa sasa.