Abby Newton
JF-Expert Member
- Nov 12, 2017
- 1,301
- 2,394
Sijui niseme au basi.
Hawa wanapo-kufa tutasema "kifo ni kifo tu" halafu tunaendelea na mambo yetu.Hatutalia abadan!Chura wa Kizimkazi na Mzee wa Msoga; wakitoboa December nikaa pale👉👉
Tunarudi kupiga goti kumlilia Mungu
NaHuu ugomvi wa Wanamtandao na Sukuma Gang unakoelekea siko
Mbona iliwekwa muda mrefu sanaHili jukwaa lipo nyuma sana, kwa maana hakuna anayejua kuwa Job amefariki?
Job ndugai amefariki dunia
Kusema kapelekwa asilete usumbufu,baba mkuu.Ghafla sana! Si ni juzi tu hapa ametoka kupitishwa na chama chake kugombea tena ubunge jimbo la Kongwa!! Au ndiyo kusema.....!!
Kweli ndiye alitumia helanyingi kwenye matibabu mpaka ilkaleta utata bungeniRIP Alikuwa mgonjwa siku nyingi.huyo
Kabla ya hayo tayari alikua mgonjwaAliomba msamaha mkakataa, mkampora u spika kwa nguvu mkampa.msongo wa mawazo hadi hapa alipofikia..
Leo ndo mtamzika kwa mbwembweee zote ila nyie CCM nyiee kama mbigu ipo aisee hamuendi..
Kifo kiboko ya mwanadamMungu anatisha
View attachment 3434076
Aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania na Mbunge wa Kongwa, Job Yustino Ndugai amefariki Dunia leo August 6,2025 akiwa Jijini Dodoma.
Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na ofisi ya Spika wa Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania, taarifa kuhusu taratibu za mazishi zitaendelea kutolewa hivi karibuni
Source
Asingemnyima ndio asingekufa?Alimunyima Lissu matibabu na jiwe wake wengine tuacheni tu.Poleni wafiwa
Bora amekufa. Yeye na mwendazake wamemuacha Lissu anapetaFala sana wewe,kifo hakipo dunia hii!?.. ndugai hakuwa mgonjwa!?..mbwa sana nyi wavaa kombati
Hakika Mwenyezi Mungu peke yake anajua Saa (ya Kiyama); na anateremsha mvua; na anajua yaliyomo matumboni. Na mtu hajui atafanya nini kesho; wala hajui mtu ni nchi gani atakofia. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mjuzi, Mwenye habari.”
Aliyewahi kuwa Spika na aliyekuwa Mbunge wa Kongwa, Job Yustino Ndugai amefariki Dunia, leo Agosti 6, 2025, taarifa ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani, Dkt. Tulia Ackson imeeleza kuwa msiba umetokea Dodoma
Dkt. Tulia amesema Ofisi ya Bunge kwa kushirikiana na Kamati ya Mazishi pamoja na familia ya Marehemu inaratibu mipango ya mazishi na taarifa zaidi zitaendelea kutolewa.
WASIFU MDOGO WA JOB NDUGAI
Alizaliwa Januari 21, 1963 na kupata elimu ya msingi kutoka Shule ya Msingi Mtare kuanzia mwaka 1991-1997. Alianza elimu ya Sekondari ya Kibaha mwaka 1978-1981 na kumalizia Shule ya Sekondari Old Moshi kuanzia 1982-1984.
Amesoma Stashahada ya Usimamizi wa Wanyamapori kutoka Chuo cha Mweka kuanzia mwaka 1986-1988, kisha Shahada ya Kwanza kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (1989-1993).
Amesoma Post Graduate kutoka Chuo cha Kilimo nchini Norway kuanzia 1994-1995 na kusoma Shahada ya Umahiri kutoka chuo hicho (1995-1996).
Safari yake ya elimu iliishia Eastern and Southern African Management Institute ambapo alisoma Shahada ya Umahiri katika Usimamizi wa Biashara (2005-2008)
Amekuwa Mbunge wa Kongwa kwa miaka 25 sasa (tangu mwaka 2000) na ameshika nafasi mbalimbali ndani ya kamati za bunge.
Alichaguliwa kuwa Spika wa Bunge Novemba 17, 2015 baada ya kupata kura 254 kati ya 365, na mpinzani wake Goodluck Ole Medeye kutoka CHADEMA akipata kura 109, huku kura mbili zikiharibika. Kabla ya hapo alihudumu kama Naibu Spika wa Bunge tangu mwaka 2010.
Katika uongozi wake wa bunge, mambo kadhaa yameibua mjadala mkubwa ikiwemo sakata la wabunge 19 wa CHADEMA wanaodaiwa kuvuliwa uanachama wao, na kuhojiwa kwa baadhi ya wabunge akiwemo Josephat Gwajima na Jerry Muro kwa madai ya kushusha hadhi na heshima ya bunge.
Suala jingine ni kumtaka mmoja wa wabunge aliyedai amevaa nguo zisizo za staha kutoka ndani ya ukumbi wa bunge. Uamuzi huo ulikosolewa vikali, wakosoaji wakieleza kwamba vazi la mbunge huyo halikuwa na tatizo. Karibuni, amezua mjadala tena kwa kusema Tanzania haitakiwi kukopa ili kufadhili miradi ya maendeleo.
Mbali na ubunge, amefanya kazi sehemu nyinginezo ikiwa Wizara ya Maliasili na Utalii, Pori la Akiba Selous na Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI).
Januari 6, 2022 amejiuzulu nafasi ya Uspika kutokana na sababu binafsi na kwa hiari yake.
Ndugai ni mume wa Fatuma Mganga.
Unyama ambao Ndugai alimfanyia Lissu umeusahau? Malipo ni hapa hapa, bado wawiliKwenye ukoo wenu hakuna aliyekufa?..kama yupo, alikua mwana CCM!?..watu mna chuki deep nyoyoni,pumbavu sana nyie
Alijiwekea kinga ya kutoshtakiwa sasa kifo kimempata je nako kuna kinga ya kutohukumiwa na Mungu kwa yale aliyoyatenda kuanzia 2015 hadi 2021.
Aliyewahi kuwa Spika na aliyekuwa Mbunge wa Kongwa, Job Yustino Ndugai amefariki Dunia, leo Agosti 6, 2025, taarifa ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani, Dkt. Tulia Ackson imeeleza kuwa msiba umetokea Dodoma
Dkt. Tulia amesema Ofisi ya Bunge kwa kushirikiana na Kamati ya Mazishi pamoja na familia ya Marehemu inaratibu mipango ya mazishi na taarifa zaidi zitaendelea kutolewa.
WASIFU MDOGO WA JOB NDUGAI
Alizaliwa Januari 21, 1963 na kupata elimu ya msingi kutoka Shule ya Msingi Mtare kuanzia mwaka 1991-1997. Alianza elimu ya Sekondari ya Kibaha mwaka 1978-1981 na kumalizia Shule ya Sekondari Old Moshi kuanzia 1982-1984.
Amesoma Stashahada ya Usimamizi wa Wanyamapori kutoka Chuo cha Mweka kuanzia mwaka 1986-1988, kisha Shahada ya Kwanza kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (1989-1993).
Amesoma Post Graduate kutoka Chuo cha Kilimo nchini Norway kuanzia 1994-1995 na kusoma Shahada ya Umahiri kutoka chuo hicho (1995-1996).
Safari yake ya elimu iliishia Eastern and Southern African Management Institute ambapo alisoma Shahada ya Umahiri katika Usimamizi wa Biashara (2005-2008)
Amekuwa Mbunge wa Kongwa kwa miaka 25 sasa (tangu mwaka 2000) na ameshika nafasi mbalimbali ndani ya kamati za bunge.
Alichaguliwa kuwa Spika wa Bunge Novemba 17, 2015 baada ya kupata kura 254 kati ya 365, na mpinzani wake Goodluck Ole Medeye kutoka CHADEMA akipata kura 109, huku kura mbili zikiharibika. Kabla ya hapo alihudumu kama Naibu Spika wa Bunge tangu mwaka 2010.
Katika uongozi wake wa bunge, mambo kadhaa yameibua mjadala mkubwa ikiwemo sakata la wabunge 19 wa CHADEMA wanaodaiwa kuvuliwa uanachama wao, na kuhojiwa kwa baadhi ya wabunge akiwemo Josephat Gwajima na Jerry Muro kwa madai ya kushusha hadhi na heshima ya bunge.
Suala jingine ni kumtaka mmoja wa wabunge aliyedai amevaa nguo zisizo za staha kutoka ndani ya ukumbi wa bunge. Uamuzi huo ulikosolewa vikali, wakosoaji wakieleza kwamba vazi la mbunge huyo halikuwa na tatizo. Karibuni, amezua mjadala tena kwa kusema Tanzania haitakiwi kukopa ili kufadhili miradi ya maendeleo.
Mbali na ubunge, amefanya kazi sehemu nyinginezo ikiwa Wizara ya Maliasili na Utalii, Pori la Akiba Selous na Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI).
Januari 6, 2022 amejiuzulu nafasi ya Uspika kutokana na sababu binafsi na kwa hiari yake.
Ndugai ni mume wa Fatuma Mganga.
Hivi Lema alimsemeaje huyu? Ebu tukumbushe. Apumzike kwa amani spika mstaafu aliyeondolewa kwa kuwa mkweliLema Mungu anakuzoom 😳😳😳