JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Yupi Ndugai au yule wa bodabodaUnafiq unamsumbua Sana huyo mzee
Duuh yaani umeongea kitu kinafikilisha sana πππKama wafanya kazi mazingira magumu kwa afya yako, kazi ambayo hauna uhakika wa kurudi nyumbani, kazi ambayo huna uhakika wa matibabu na wanasiasa wako upande wako, jua kabisa wewe ni daraja
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Mzee wa Galilaya amesha ingia,humuπ€Yupi ndugai au yule wa bodaboda
Kumbe ndo huyo .!!!!Mzee wa Galilaya amesha ingia,humuπ€
Spika Mstaafu wa Bunge, Job Ndugai amewataka Watanzania kuacha tabia kutothamini mafanikio au juhudi za watu
Risk imetuzunguka kila mahali, hata ukipanda balloon kwenda kazini kwako bado upo kwenye risk ya ajali tu, no safe zone, hata unaweza unatembea kwa miguu ajali ikakufuata hapo ulipo,Kama wafanya kazi mazingira magumu kwa afya yako, kazi ambayo hauna uhakika wa kurudi nyumbani, kazi ambayo huna uhakika wa matibabu na wanasiasa wako upande wako, jua kabisa wewe ni daraja
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hata mimi naungana na Lema, kazi ya Bodaboda sio ya staha (descent). Ni vile tu kijana anamaliza chuo hana mishe ya kufanya anaingia kwenye shughuli ya Bodaboda. Halafu mbona hatuwaoni watoto wa vigogo wakifanya shughuli za Bodaboda, walau hata mtoto wa DC.Spika Mstaafu wa Bunge, Job Ndugai amewataka Watanzania kuacha tabia kutothamini mafanikio au juhudi za watu mbalimbali wanazozionesha katika taifa hasa katika sekta ya biashara, akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mgahawa wa Chakula katika Taarafa ya Pandambili Iliyopo njia Kuu ya Kutoka Dodoma Owenya Morogoro.
Amesema "Kijana anza kufanya biashara halali, kazi ni kazi, achaneni na yule anayesema watu wamelaaniwa labda amelaaniwa yeye, yule anayesema vijana wa Bodaboda wamelaaniwa, sasa ule si wenzawazimu tu."
Chanzo: GlobalTV
Nadhani mchangiaji alimaanisha probability ya kupata ajali ni kubwa kwenye Bodaboda ukilinganisha na ya kwenye Balloon unayosema wewe.Risk imetuzunguka kila mahali, hata ukipanda balloon kwenda kazini kwako bado upo kwenye risk ya ajali tu, no safe zone, hata unaweza unatembea kwa miguu ajali ikakufuata hapo ulipo,
KAZI NI KAZI.
Mkuu una akili sanaKama wafanya kazi mazingira magumu kwa afya yako, kazi ambayo hauna uhakika wa kurudi nyumbani, kazi ambayo huna uhakika wa matibabu na wanasiasa wako upande wako, jua kabisa wewe ni daraja
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app