Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Hao usiamini kauli zao HAWAJAPATA KUWA WAKWELI TOKA ENZI YA UHURU MPAKA LEO!!Hawawezi kuthubutu kuongeza muda, hata Magufuli alishakataa hiyo kitu, wanapenda kujaza bunge kwasababu tu ya tabia yao ya uroho wa madaraka.
Hawawezi kuthubutu kuongeza muda, hata Magufuli alishakataa hiyo kitu, wanapenda kujaza bunge kwasababu tu ya tabia yao ya uroho wa madaraka.
WatabadiliHawawezi kuthubutu kuongeza muda, hata Magufuli alishakataa hiyo kitu, wanapenda kujaza bunge kwasababu tu ya tabia yao ya uroho wa madaraka.
Hao usiamini kauli zao HAWAJAPATA KUWA WAKWELI TOKA ENZI YA UHURU MPAKA LEO!!
Mkuu, umerudia kauli hii mara kwa mara, kunani?Mpango huu utadhibitiwa kwa ustadi mkubwa Sana na ndio unamfanya Magufuli afurushwe Ikulu mwaka huu.
Ikitokea hiyo ya Zanzibar kuwa kwaheri ya kuonana ndipo watakapojua kwamba kule kulikuwa na mapinduzi. Yale ya 2001 yalikuwa halindwa tu."Mimi kama Spika katika demokrasia ya Kibunge suala siyo ujuzi wa kusema na kupanga hoja, ni muhimu sana Wabunge wa @ccm_tanzania wakazidi theluthi mbili ya Wabunge wote ili tuweze kuamua jambo lolote linaloletwa Bungeni na Serikali yetu" - Spika Ndugai.
#UzinduziKampeniCCM https://t.co/qf2YzvUA24
Sasa naamini hizi figusu kumbe lengo wapate wabunge wa kwenda kubadili katiba na mtu kuwa rais wa milele na zanzibar ndio kwa heri ya kuonana
Hawawezi kuthubutu kuongeza muda, hata Magufuli alishakataa hiyo kitu, wanapenda kujaza bunge kwasababu tu ya tabia yao ya uroho wa madaraka.
Hujui politics wewe!Hawawezi kuthubutu kuongeza muda, hata Magufuli alishakataa hiyo kitu, wanapenda kujaza bunge kwasababu tu ya tabia yao ya uroho wa madaraka.
Ndugai๐๐๐๐๐"Mimi kama Spika katika demokrasia ya Kibunge suala siyo ujuzi wa kusema na kupanga hoja, ni muhimu sana Wabunge wa @ccm_tanzania wakazidi theluthi mbili ya Wabunge wote ili tuweze kuamua jambo lolote linaloletwa Bungeni na Serikali yetu" - Spika Ndugai.
#UzinduziKampeniCCM https://t.co/qf2YzvUA24
Sasa naamini hizi figusu kumbe lengo wapate wabunge wa kwenda kubadili katiba na mtu kuwa rais wa milele na zanzibar ndio kwa heri ya kuonana
Nami naliona hilo. Tangu Ndugai na Kessy waamue kutaja Magufuli aongezewe muda, sina hamu nao sana"Mimi kama Spika katika demokrasia ya Kibunge suala siyo ujuzi wa kusema na kupanga hoja, ni muhimu sana Wabunge wa @ccm_tanzania wakazidi theluthi mbili ya Wabunge wote ili tuweze kuamua jambo lolote linaloletwa Bungeni na Serikali yetu" - Spika Ndugai.
#UzinduziKampeniCCM https://t.co/qf2YzvUA24
Sasa naamini hizi figusu kumbe lengo wapate wabunge wa kwenda kubadili katiba na mtu kuwa rais wa milele na zanzibar ndio kwa heri ya kuonana.