Kinjeketile
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 999
- 1,683
Sasa ni wazi kweupe Magufuli hataki kutoka madarakani. Huyu Ndugai na wenzie hawalitaki hilo jambo la Magufuli kutawala milele ndiyo maana amefichua siri indirectly.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani, pressure watakayoipata toka ndani na nje hawataweza ihimili, kama Amsterdam pekee anawapelekesha wataweza kukabiliana na serikali za mataifa ya magharibi ambao ndio wafadhili?! Never.Watabadili
Watalindana kama kawaida yao, hakuna wanachohofia hao jamaa.Kweli kabisa. Kinyume na uchaguzi wa serikali za vijiji na mitaa uliolalamikiwa sana, sisi raia na jumuia ya kimataifa tulihakikishiwa kuwa huu uchaguzi mkuu utakuwa huru na wa haki na sasa tunashuhudia kwa macho yetu utekelezaji wa ahadi hiyo. Kuna changamoto moja kubwa: uongozi unapojihisi kuwa umetengeneza maadui wengi basi hujawa na hofu kubwa ya mambo yanayoweza kutokea pindi wawapo nje ya madaraka.
Hawaezi kila kitu wanategema atakachosema jiwe"Mimi kama Spika katika demokrasia ya Kibunge suala siyo ujuzi wa kusema na kupanga hoja, ni muhimu sana Wabunge wa @ccm_tanzania wakazidi theluthi mbili ya Wabunge wote ili tuweze kuamua jambo lolote linaloletwa Bungeni na Serikali yetu" - Spika Ndugai.
#UzinduziKampeniCCM https://t.co/qf2YzvUA24
Sasa naamini hizi figusu kumbe lengo wapate wabunge wa kwenda kubadili katiba na mtu kuwa rais wa milele na zanzibar ndio kwa heri ya kuonana.
Wanaweza sana. Hawa watu huanza kwanza kwa kujikatalisha mpaka dakika ya mwisho then hujifanya wamekubali “baada ya kubembelezwa sana”Hawawezi kuthubutu kuongeza muda, hata Magufuli alishakataa hiyo kitu..
"Mimi kama Spika katika demokrasia ya Kibunge suala siyo ujuzi wa kusema na kupanga hoja, ni muhimu sana Wabunge wa @ccm_tanzania wakazidi theluthi mbili ya Wabunge wote ili tuweze kuamua jambo lolote linaloletwa Bungeni na Serikali yetu" - Spika Ndugai.
#UzinduziKampeniCCM https://t.co/qf2YzvUA24
Sasa naamini hizi figusu kumbe lengo wapate wabunge wa kwenda kubadili katiba na mtu kuwa rais wa milele na zanzibar ndio kwa heri ya kuonana.
"Mimi kama Spika katika demokrasia ya Kibunge suala siyo ujuzi wa kusema na kupanga hoja, ni muhimu sana Wabunge wa @ccm_tanzania wakazidi theluthi mbili ya Wabunge wote ili tuweze kuamua jambo lolote linaloletwa Bungeni na Serikali yetu" - Spika Ndugai.
#UzinduziKampeniCCM https://t.co/qf2YzvUA24
Sasa naamini hizi figusu kumbe lengo wapate wabunge wa kwenda kubadili katiba na mtu kuwa rais wa milele na zanzibar ndio kwa heri ya kuonana.
Hilo liko wazi kabisa wala halihitaji mjadalaIt’s quite obvious CCM will definitely scoop 95% of elected MPs in the August house!! That means more than 2/3 (two thirds)!
Yanaakili basiiHujui politics wewe!
Unajua ccm hawawezi tena kufanya uchaguzi ?Sidhani, pressure watakayoipata toka ndani na nje hawataweza ihimili, kama Amsterdam pekee anawapelekesha wataweza kukabiliana na serikali za mataifa ya magharibi ambao ndio wafadhili?! Never.
Huwezi kua na marukanga akili ikawa sawa"Mimi kama Spika katika demokrasia ya Kibunge suala siyo ujuzi wa kusema na kupanga hoja, ni muhimu sana Wabunge wa @ccm_tanzania wakazidi theluthi mbili ya Wabunge wote ili tuweze kuamua jambo lolote linaloletwa Bungeni na Serikali yetu" - Spika Ndugai.
#UzinduziKampeniCCM https://t.co/qf2YzvUA24
Sasa naamini hizi figusu kumbe lengo wapate wabunge wa kwenda kubadili katiba na mtu kuwa rais wa milele na zanzibar ndio kwa heri ya kuonana.
Ikitokea hiyo ya Zanzibar kuwa kwaheri ya kuonana ndipo watakapojua kwamba kule kulikuwa na mapinduzi. Yale ya 2001 yalikuwa halindwa tu.
Nchi sasa hivi haina viongozi ina wahuni tu sasa wahuni watashindwa kubadili katiba ?
Ndugai ni speaker ya jiwe tu lakini anayeongea hapo ni jiwe.Watu kama Ndugai ndo wanamfanya Magufuli achukiwe na sijui kwanini anawapenda watu wasiokubalika na jamii kubwa anayoiongoza.
Tena ni mhuni hasa sasa wahuni watashindwa kubadili katiba ?Magufuli ndiye mhuni namba 1. Hao wengine wanatekeleza tu.