Kwa hio wabongo hawawezi kufanya lolote ?Kura za Zanzibar ndiyo kikwazo kikuu, kwa sababu mambo mengi ya katiba ili yabadirike yanahitaji theluthi mbili ya wabunge kutoka pande zote za muungano, ndiyo maana ya uharibifu unaoendelea zanzibar kwa sasa
Hawawezi kuthubutu kuongeza muda, hata Magufuli alishakataa hiyo kitu, wanapenda kujaza bunge kwasababu tu ya tabia yao ya uroho wa madaraka.
Hakuna mwanaccm wa kumkoromea Magufuli mle ndani.
Usichokijua ni kwamba ccm imejaa wanawake watupu mbele ya mwenyekiti wao..
Kwani ukishachaguliwa na kuwa mbunge. Pale bungeni unakuwa mwakilishi wa nani. Unakuwa mwakilishi wa chama au wananchi waliokuchagua??. Kwa maneno ya Ndugai inamaana watakaochaguliwa na Wanacvm hawatakuwa wabunge wa wananchi, watakuwa wabunge wa chama na serikali hivyo hawataweza kuwatetea wananchi waliowachagua."Mimi kama Spika katika demokrasia ya Kibunge suala siyo ujuzi wa kusema na kupanga hoja, ni muhimu sana Wabunge wa @ccm_tanzania wakazidi theluthi mbili ya Wabunge wote ili tuweze kuamua jambo lolote linaloletwa Bungeni na Serikali yetu" - Spika Ndugai.
#UzinduziKampeniCCM https://t.co/qf2YzvUA24
Sasa naamini hizi figusu kumbe lengo wapate wabunge wa kwenda kubadili katiba na mtu kuwa rais wa milele na zanzibar ndio kwa heri ya kuonana.
Leo wanatuambia mgao wa umeme uendelee mpaka mwezi juniCCM wanataka wabunge ambao kichwani ni weupe ,ili mradi wawe wengi ili ndiooo ziwe nyingi.View attachment 1552150