ruaharuaha
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 3,586
- 3,857
wewe umeona kuna chochote kinaendelea kwenye hiyo miradi ?!!...hizo gia za kipumbavu ndizo wanazotumia kuchukulia pesa na kukudanganya fala kama wewe kuwa wanaendeleza wakati wanaendelea na mipango yao ya binafsi
Baada ya tafakari ya muda mrefu sana nimelazimika kuyaelewa maneno ya Spika Job Ndugai. Naungana nae.
Ni wazi kuwa maneno yake yamekuja wakati sahihi. Ameongea kama mwananchi wa kawaida kabisa... Na kwa vile yupo ndani ndani huko kuna mengi anayajua!
Cha ajabu sisi wananchi wa kawaida ndo wale wale tunaompiga vita na kumkashifu. Tulipaswa tuwe na harakati huru na endelevu za kutaka kujua matumizi ya fedha za mikopo na zile za tozo! Isije ikawa tunatumika kama dhamana ya mikopo ili wateule wachache wazidi kuneemeka.
Dalili za matumizi ya kufuru na anasa zipo wazi kabla hata ya SSH. Je, hatupaswi kwenda mbali zaidi kuhoji uhalali wa mikopo/tozo na matumizi yake?? Au tukishaambiwa na watawala basi tuufyate zaidi ya maandiko!
Hii nchi siku ikikosea ikampa mtu flani uraisi tumekwisha!!!
Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
AiseeeYeleuwii na bado mradi wa bwagamoyo asalalee hii nchi yetu nani wa kuiokoa jamani.
mungu magufuli ataiokoa. We kaombe tu kwenye kaburi lake atakuja kukuokoaYeleuwii na bado mradi wa bwagamoyo asalalee hii nchi yetu nani wa kuiokoa jamani.
Yeleuwii na bado mradi wa bwagamoyo asalalee hii nchi yetu nani wa kuiokoa jamani.
🤔🤔🤔 Tanzania Institute of Accountancy (TIA), ni chuo cha kodi mkuu???Nchi hi Ina chuo Cha Kodi TIA alaf tunawaza jinsi ya kukusanya Kodi kweli? Sasa kile chuo kina mantiki gani? Lini tutaanza kutumia hivi vyuo vizuri? Watu wanamaliza , nauliza hivi wizara au TRA wamefanya jitihada gani kuwatumia nyinyi wanafunzi ili kulltafuta vyanzo vipya vya Kodi? Jibu hapana!!! Sasa wizara ya Elimu na serekali.......
Kuna wakati ni bora uungane na adui mdogo wa adui yako kupambana na adui mkubwa...Hata Ndugai hana nia njema na wananchi sema amekosa access na hiyo mikopo anaumia wenzake waakavyopiga pesa bila yeye kushirikishwa wala hana lolote ni tapeli tu
Hakika... Spika ana mapungufu lakini tumsikilize. Kuna kitu anakijua vizuri...Pamoja na mapungufu yake, mtu yoyote ana mapungufu tusikilize point zao.
Mambo ni bora liende tu tunakosa umakini kwenye mambo ya msingi.Ingekuwa Zanzibar SSH angekuwa makini sana Lakini anatawala Watanganyika, hajali chochote.
mungu magufuli ataiokoa. We kaombe tu kwenye kaburi lake atakuja
Mambo ni bora liende tu tunakosa umakini kwenye mambo ya msingi.
Sasa kama tuna resources za kila lakini bado tunakimbilia mikopo kama Taifa tunafeli.