Job Ndugai: Ipo siku Tanzania itapigwa mnada, Watu tukishakopa tunapiga makofi kujipongeza. Deni la Taifa ni 70 Trilioni

Hongera shoga,ndugu wanaojuana huruka p1
Lissu hajawahai kutetea wananchi au maslahi ya nchi yeye anateteta maslahi yake na mashoga wenzake.Je umewahi kumsikia akimtetea mwenyekiti wake hata huko aliko?
 
Mama asiwasahau hawa watoto wa yatima maana watasema siri zote, bado wana uchungu wa baba yao
 
Maneno mujarrabu kutoka kwa mwamba
 
Kwanini takwimu za makusanyo ya tozo haziwekwi wazi?
 
Hiv nan ambaye alikuwa makin????Achen chuki hii nchi tatizo kubwa ni hili katba chakavu la kulindana
Mambo ni bora liende tu tunakosa umakini kwenye mambo ya msingi.

Sasa kama tuna resources za kila lakini bado tunakimbilia mikopo kama Taifa tunafeli.
 
Nadhani father Michongo ujumbe ameupata Sasa..kesho atakuja kusema hamkunielewa
 
Kile ni kichaka cha Mwigulu... anajichotea tu!!
Vodacom walitoa tathmini ya miamala wanayokamilisha kwa mwezi kufikia 10T transactions. Sasa pigia hesabu kila muamala serikali ile buku tu ni bei gani wanapata? Halafu ati makusanyo yalikuwa 48B tu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Achana na JPM, kalaumu ndugu na jamaa za familia yenu mnavyoparangana.
 
Ni vile tu msamiati wa neno kujiuzulu kwa mwafrika huwa hauna nafasi.lakini huyo maza alitakiwa akae pembeni tu,hii nchi imemshinda for sure.
Huyo Ndungai nae unafiki tu.
 
Ohh Mama anakuja kuunganisha taifa mbona taifa haliungani? Ohh Mama anaponya majeraha mbona sioni kinachoendelea nchini? Tume kuwa taifa la kulalamika tena , no leadership.

Mama mama wapi kelele tu with zero impacts.
 
Tukuunganisha ya job na ya polepole na ya nape tutapata tu sentensi kamili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…