Job Ndugai: Ipo siku Tanzania itapigwa mnada, Watu tukishakopa tunapiga makofi kujipongeza. Deni la Taifa ni 70 Trilioni

ingekuwa ni Tundu Lisu ndio kaiponda mikopo ya mabeberu hakika hapa Jf pasingetosha pongezi za makamanda.
Lisu atatoa wapi akili na ujasiri wa kuwaponda mabeberu? Akijifanya si wanakata tu mirija inayomlisha vya bure ili aonje joto ya jiwe!
 
CCM IMEZOEA KUPIGA NGOMA WATU WANACHEZA...NA ITAAMUA LINI NGOMA IISHE,NGOMA IKIISHA KUMEKUCHA...LAKINI THIS TIME WANAJIDANGANYA...HATUCHEZI NGOMA YAO...HATUITAKI,NA NDIO MAANA WANAICHEZA WENYEWE...
 
Magufuli ni mpole? Je Makonda? Kitu mmewafanyia Watanzania miaka 5 iliyopita hawatasahau
Unahangaika na waliolevywa na madaraka..sempo ndogo sana hiyo..kujudge kabila zima...hao tunawapuuza.

#MaendeleoHayanaChama
 
Sijui kwanini Speaker amewasha moto wa madeni wakati huu. Kuna nyakati mbali mbali akina Zitto walipokuwa wana taka serikali isikope kiholela lakini Ndugai hakuikosoa au kuishauri serikali.
Kama ni harakati za kuwania uraisi 2025 kawahi mno,lakini vile vile kama ni kumkosoa SSH inaweza isipokelewe vizuri kwenye Chama Chao ambao SSH ni mwenyekiti.
Yote haya yangenoga kama uchaguzi 2025 tungekuwa na katiba ya Warioba.
 
Acha unaa mwenyewe unajua kwanini imtokea.
 
Hivi bandari ya bagamoyo ulikuwa mkopo ama hisani ya watu wa China .Ila agwe wameamka ? Kuna siku alisema mradi waugawane nae aweke mabehewa yake ama alete vichwa kadhaa vya train.chezea agwe wewe
 
We chawa wa huyo mgogo mbilikimo tuwekee gharama ya fedha yote aliyoitikita huko india kwa matibabu huyo mbukwenyi mbukwa!!
 
Kweli,hata bosi wake alisema vita yakiuchumi,huku anakopa na betri wametengeneza wao nawamemfunga wao ila remote iko kwa mabeberu.
Hakusema vita yakiafya.
Tulikuwa na wahuni,mazuzu,waongo na wabaguzi.Ayoub anaendeleza.
sasahivi kashajifia vzr
 
Ndugai sijawahi kumuelewa Mimi, inafika wakati namfananisha na wanafiki, vigeu geu, wasio na msimamo ktk maamuzi yao, wafitini na wasio elewa nini wanatakiwa kufanya Kwa wakati gani.

Amepewa nafasi kubwa Sana ya kuisimamia Serikali, ameshindwa kuisimamia analalamika si awapishe wengine
 
tatizo Tanzania kila mtu mnafiki hakuna anayesema ukweli, kila mtu analinda ugali wake
 
Huyu mgogo ana kichaa kichwani.Sasa kupewa mkopo kuna shida gani? Hiyo pesa nusu ni msaada na nusu ni soft loans.

Unaachaje kushangilia ikiwa kwa pesa hizo tumemaliza tatizo la madarasa,tumejenga na kumalizia vyuo vya VEta,tumenunua X ray machine kwa hospital zote na vituo vya afya,tumenunua CT Scan kwa hospital zote za Mikoa,tumenunua MRI kwa hospital zote za Kanda na Kitaifa.

Kanakwamba haitoshi tumenunua magari ya chanjo na kutoa ambulance kwenye hospital zote Tzn.

On top of that tumejengea miundombinu kwenye hifadhi za Taifa,tumenunua magari ya kuchimbia maji mikoa yote,tumenunua mitambo ya kutafiti kiwango cha maji kwa Kanda zote na tumewapatia maji baadhi ya maeneo.

Si hayo tuu kwa pesa hizo bil.5 zimeenda kwa machinga.Swali je mikopo mingine iliwahi kufanya nini?
 
Ile hasara anayoiingizia taifa kupitia wabunge 19 ambao wamefukuzwa na chama chao pia asiache kujadili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…