mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
India matibabuniWakati hilo deni linapaa bunge lilikuwa wapi!
Huenda kavuta harufu ya mtu wa Zanzibar kuwa spika huko mbele,kaamua kumwaga mboga.Ndungai ameamua kumkabili Hangaya uso kwa uso.
Qmmke siasa hizi 😂😂😂Wakati hilo deni linapaa bunge lilikuwa wapi!
Kati ya hizo pesa za mikopo tunamdai BILION 26 na ushee zilizotumika kumtibia maradhi yake India na kumfanya kuwa mgonjwa ghali zaidi duniani anayetarajiwa kuingia kwenye kitabu cha Guiness book of world recordsSpika wa Bunge ameonya kitendo cha serikali kuendelea kutegemea mikopo kutoka nje kuendesha nchi kitu ambacho kimefanya deni la taifa kuwa kubwa maradufu "Ipo siku hii nchi itapigwa mnada,kopeni tu".
View attachment 2060343
Kaka mshana mimi naamini kuna zaidi ya hizo hapo wamepunguza digit kupunguza ukali wa fedhwa.Kati ya hizo pesa bilion 26 na ushee zilitumika kumtibia India.. BILLION 26 kwa kichwa kimoja na kumfanya kuwa mgonjwa ghali zaidi duniani
Hangaya akiendelea kuwepo na kutaka kutawaka si ajabu akawepo na rais hajaye baada ya Hangaya akawa Mzanzibar wakaendelea kulithishana, watakuja kustuka sekta zote za juu wamejaa wazanzibarHuenda kavuta harufu ya mtu wa Zanzibar kuwa spika huko mbele,kaamua kumwaga mboga.
Na bado wanakopa!Kwa hiyo tozo ndio mbadala wa kukopa?
Hakuna mgogo mwenye akili duniani.Baada ya bibi hangaya kuzindua likamati ambalo kazi zake hazijulikani subwoofer amekasirika kwani hilo likamati litakuwa linafanya baadhi ya kazi za Bunge lake.
Yaani subwoofer amekasirika sana kwani inadhihirisha kweli bunge lake ni dhaifu hata kwa bi hangaya
Kazi ipo..😁Spika wa Bunge ameonya kitendo cha serikali kuendelea kutegemea mikopo kutoka nje kuendesha nchi kitu ambacho kimefanya deni la taifa kuwa kubwa maradufu "Ipo siku hii nchi itapigwa mnada,kopeni tu".
View attachment 2060343
Kwani unataka kusemaje mkuu?Kwa hiyo tozo ndio mbadala wa kukopa?