Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amekinukisha"... kwenye negotiations tukae vizuri watanzania. Yako mambo ambayo lazima upeleke 'brains' zako. Siyo unapeleka Senior mwenye 'gentleman degree' na form four alipata 'makarai' matupu, ataenda ku-negotiate nini? Haiwezekani !! "
View attachment 2697538
-Kaveli-
Mambo ni motto"... kwenye negotiations tukae vizuri watanzania. Yako mambo ambayo lazima upeleke 'brains' zako. Siyo unapeleka Senior mwenye 'gentleman degree' na form four alipata 'makarai' matupu, ataenda ku-negotiate nini? Haiwezekani !! "
View attachment 2697538
-Kaveli-
Makarai😂😂😂 wakiongozwa na karai kuu.."....Kwenye negotiations tukae vizuri watanzania. Yako mambo ambayo lazima upeleke 'brains' zako. Siyo unapeleka Senior mwenye 'gentleman degree' na form four alipata 'makarai' matupu, ataenda ku-negotiate nini? Haiwezekani"
-Kaveli-
Ana AAAAAAAAA O'level one ya 7 Advance one ya 3 km Ndugai nae ni AAAAAAAA O'level one ya 7 na Advance one ya 3 na ukija University ana GPA ya 5.0 na Ndugai nae ana CGPA ya 5.0Kwani mwenye nyumba mwenyewe hali ipoje?