Mkimuyangu
JF-Expert Member
- Oct 5, 2022
- 1,054
- 1,947
Nimecheka sana dada yangu wa imaniKaabisa tena.
Sasa wewe kilichozushwa hapo kipi? Rais alishasema "hii yote ni 2025" wakati Ndugai anapigwa chini, jana kada mwingine wa CCM anaeheshimika kayasema. Hivi habari huwa zinakupita? Unalala sana? Au huna simu mpaka shemeji arudi kutoka kazini?