Job Ndugai: Kwenye negotiations lazima upeleke 'brains' zako, first class thinkers. Form four (Makarai matupu) ataenda kunegotiate nini?

Kaveli

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
5,443
Reaction score
8,903
"....Kwenye negotiations tukae vizuri watanzania. Yako mambo ambayo lazima upeleke 'brains' zako. Siyo unapeleka Senior mwenye 'gentleman degree' na form four alipata 'makarai' matupu, ataenda ku-negotiate nini? Haiwezekani"

Your browser is not able to display this video.

-Kaveli-
 
Amekinukisha
Mambo ni motto
 
Makarai😂😂😂 wakiongozwa na karai kuu..
 
Profesa Abdulkarim Hamis Mruma profesa wa jiolojia na mjiolojia mkuu wa makinikia madini akiwa katika 'mahakama' / tribunal kimataifa kama shahidi mtaalamu wa madini katika sakata la mkataba / leseni kufutwa


22 March 2023
Winshear Gold Corp. v. United Republic of Tanzania (ICSID Case No. ARB/20/25)Hearing Day 3 - Video 1 - 15 February 2023

Source : ICSID
 
Ndugai ana hoja asikilizwe ila alichokosea na yeye ni kukariri kuhusu grade za kwenye makaratasi (vyeti).

Wanaotakiwa ni wasomi ila sasa wawe smart hata katika kujenga hoja. Negotiations ni taaluma kabisa nchi za nje. Kuna watu gifted kama Lissu au Kibatala mbali na taaluma yao ya sheria ila wana uwezo wa ziada katika kujenga na kutetea hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…