Job Ndugai: Kwenye negotiations lazima upeleke 'brains' zako, first class thinkers. Form four (Makarai matupu) ataenda kunegotiate nini?

Tatizo ni Kalai Mzee
 
Pamoja na hayo but CCM hupenda watu aina hiyo ili kupitisha mipango yao!! NB; Ndugai ile kitu ya atake asitake mpaka leo sintosahau ulipokua unataka kulipeleka Taifa!!
 
Ndugai na wahuni wenzake tumeshawastukia mapema. Tulikuwa tunajifanya kama hatuelewi vile.

Yanajulikana majina kma 300 , tunafahamu huko watu washapanga mpaka Rais, Makamo wake, Waziri Mkuu na cabinet nzima na mpaka makatibu wakuu. KKKT nao wameahidiwa nafasi nyeti. Waislam watatu katika watu 300.

Katika mpango wao eti Rais atawekwa Muislam boya Bashiru. Ili Waislam wanyamaze.

Tutakoma ubishi.
 
Unajua Mwenyezi Mungu hampendi mtu anayezusha mambo?
 
Hao ni masisiem menzako!

Mtakoma wenyewe
 
Ndugai anadhihirisha umbumbumbu wake,kupata As haimaanishi uko vizuri kimjadala,ile ni talanta,hayo mambo angewezeshwa balozi wetu wa Cuba mbona hao tunaoshindana nao wangeomba poo
 
Ana AAAAAAAAA O'level one ya 7 Advance one ya 3 km Ndugai nae ni AAAAAAAA O'level one ya 7 na Advance one ya 3 na ukija University ana GPA ya 5.0 na Ndugai nae ana CGPA ya 5.0

First class
Uwezo wa kujenga hoja hauhusiani na A za darasani,ndugai hajatoka kwenye Pandora box
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…