Job Ndugai: Kwenye negotiations lazima upeleke 'brains' zako, first class thinkers. Form four (Makarai matupu) ataenda kunegotiate nini?

Nimecheka sana dada yangu wa imani
 
Yale yalee ya kulambana miguu na kuona rais ni Mungu mtu.

Mtu anakukanyaga kwa dharau halafu unasema " samahani kwa usumbufu Madam/Sir, naomba kama hutojali uondoe mguu wako juu ya mguu wangu" !!!

Staha za kijinga ndo zinafanya wabongo wanaburuzwa ka makondoo.

Mtu mjinga ukimuita mjinga umempa haki yake.

Samia ni lijinga lijinga lijinga.
 
Watakulawiti,usijione upo salama,watakuphila kwelikweli..shauri yako
 
Nimekuupuuza ulipoanza kutaja hao akina lusu na kibatala.
 
Kabisa tunahitaji watu wazuri katika nchi hii.siyo tu kwa kuwa utaratibu ni wa kurithisha mnajikuta amerithi madaraka mtu ambaye alipata sifuri tupu form four.matokeo yaje yanakuwa kama haya ya kuuza bandari zetu
 
Tuwapeleke wakina mandonga,Steve Nyerere hamisa mobeto shilole zmbwela kitenge mwijk babalevo manara mbona hao watatusaidia huko

Ova
 
HV Kweli bb kizee una akili Kweli HV umeandiaka ujinga na uongo gani hapa
 
Tuwapeleke wakina mandonga,Steve Nyerere hamisa mobeto shilole zmbwela kitenge mwijk babalevo manara mbona hao watatusaidia huko

Ova
Aaah bana, tumpeleke Ndugai, wakikataa masharti wanakula fimbo.

 
Shida ya Tanzania ni rushwa wala hakuna nini? Chenge ana first class ya Oxford university lakini madudu aliyoyafanya ni aibu tupu
 
Hawa wavaa kanzu wanauza nchi haswa
 
wewe ajuza ni mjinga sn kwa umri wako ulitakiwa uwe na akili timamu + hekima na busara, Ndugai ana haki ya kugombea kama raia na mtanganyika Samia hana hati miliki na nchi hii na hakuna kosa mtu yoyote kugombea ndiyo maana ya democrasia, ujinga wako na udini unakutesa sn, kwani KKKT wakiahidiwa nafasi nyeti ni kosa? ila wakiahidiwa wavaa kanzu ni sawa? mpuuzi mkubwa wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…