Job Ndugai: Kwenye negotiations lazima upeleke 'brains' zako, first class thinkers. Form four (Makarai matupu) ataenda kunegotiate nini?

Ndugai yupo sahihi, ninadhani alishawasoma hawa jamaa kitambo sana. watanzania wanatakiwa kumwomba radhi ndugai aisee. tulimtukana bure.

Ndugai ametoa kuntu sana!

-Kaveli-
 

Upo sahihi mkuu.

-Kaveli-
 
Tatizo ni ulafi wa viongozi hata hao wenye akili zao..

Yes, na ni ulafi uliovuka mipaka.

Nini hatima ya huu ubadhilifu wa mara kwa mara kwenye Taifa hili? Nini kifanyike?

-Kaveli-
 
Bora form 4, kwenye mkataba hata msukuma alikuwepo.
 
Tamko lake limekaa kisiasa zaidi kuliko uhalisia, nafikiri hii nchi tumepigwa sana kwa sababu ya tamaa ya viongozi,na walikuwa na A's kwenye vyeti vyao, ,,hata hiyo mikataba Kabla haijasainiwa watu wanatanguliziwa offer! Tena kwa ajili ya maisha Yao ambayo ni Private,Sasa unajiuliza ,kiongozi kupewa nyumba na huku ananegotiate kwa ajili ya Taifa ,kama huyu kiongozi ana hekima mbona inatosha kukataa mikataba Kabla hata hajausoma!?kwa Nini zawadi apewe yeye kwa kitu kinachobeba maslahi ya Taifa,,,,!? Anzia chenji za ununuzi wa rada, ndege ya rais ,majengo pacha ,au mikataba ya madini,mikataba ya gesi mtwara alafu chunguza matokeo ya wahusika ,utagundua vyeti na matokeo vilitumika tu kutoa nafasi kwa wezi kuwa karibu na rasilimali ili waibe kwa urahisi ,,,,,ndungai anawasilisha hoja kisiasa zaidi na si kwa maslahi ya mojakwamoja kwa ajiri ya Taifa,
 
Ndio maana waafrika tunakwama, dunia ya leo msomi anaamini Divisions na GPA?

Kama ndivyo nionyeshwe mchango wa Tanzania One kwa taifa na kwa maisha yao binafsi
 

Faiza amejaa udini sana!

-Kaveli-
 
Pamoja na hayo but CCM hupenda watu aina hiyo ili kupitisha mipango yao!! NB; Ndugai ile kitu ya atake asitake mpaka leo sintosahau ulipokua unataka kulipeleka Taifa!!

Kwamba ujinga wa watz ndiyo mtaji wa wanasiasa?

-Kaveli-
 

"Shemeji"????!!

-Kaveli-
 

Lugha ya mzungu bado ni kipengele kwa wabongo wengi including wasomi 'wabobevu'.

-Kaveli-
 
Mgogo ameamua kuwe na vita tu.

Hawa watu wakiwa nje ya mifumo huwa na akili sana. Sijui shida huwa nini wanapokuwa kwenye madaraka.

Acha aendelee tujue panapo vuja.
Tatizo ni kuwa hauwezi kuwa salama ukiwakosoa ukiwa ndani ya mfumo, watakutenga au watakufukuza, ona bunge lilivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…