Job Ndugai: Kwenye negotiations lazima upeleke 'brains' zako, first class thinkers. Form four (Makarai matupu) ataenda kunegotiate nini?

Job Ndugai: Kwenye negotiations lazima upeleke 'brains' zako, first class thinkers. Form four (Makarai matupu) ataenda kunegotiate nini?

Ndugai yupo sahihi, ninadhani alishawasoma hawa jamaa kitambo sana. watanzania wanatakiwa kumwomba radhi ndugai aisee. tulimtukana bure.

Ndugai ametoa kuntu sana!

-Kaveli-
 
Ndugai unahoja lakini naungana ni wengine kukupinga " A" ya kwenye cheti isiwe ndio green light yakupewa nafasi katika kila nyanja katika maisha kunawatu wapo gifted na baadhi wana "c" na wana demonstrate outstanding level of performance in different range of criteria na wapo wengine baadhi wana "A" kwakuwa ni wazuri kukariri linapokuja swala la performance in real world Hamna kitu .

Upo sahihi mkuu.

-Kaveli-
 
Tatizo ni ulafi wa viongozi hata hao wenye akili zao..

Yes, na ni ulafi uliovuka mipaka.

Nini hatima ya huu ubadhilifu wa mara kwa mara kwenye Taifa hili? Nini kifanyike?

-Kaveli-
 
"....Kwenye negotiations tukae vizuri watanzania. Yako mambo ambayo lazima upeleke 'brains' zako. Siyo unapeleka Senior mwenye 'gentleman degree' na form four alipata 'makarai' matupu, ataenda ku-negotiate nini? Haiwezekani"


-Kaveli-
Bora form 4, kwenye mkataba hata msukuma alikuwepo.
 
Tamko lake limekaa kisiasa zaidi kuliko uhalisia, nafikiri hii nchi tumepigwa sana kwa sababu ya tamaa ya viongozi,na walikuwa na A's kwenye vyeti vyao, ,,hata hiyo mikataba Kabla haijasainiwa watu wanatanguliziwa offer! Tena kwa ajili ya maisha Yao ambayo ni Private,Sasa unajiuliza ,kiongozi kupewa nyumba na huku ananegotiate kwa ajili ya Taifa ,kama huyu kiongozi ana hekima mbona inatosha kukataa mikataba Kabla hata hajausoma!?kwa Nini zawadi apewe yeye kwa kitu kinachobeba maslahi ya Taifa,,,,!? Anzia chenji za ununuzi wa rada, ndege ya rais ,majengo pacha ,au mikataba ya madini,mikataba ya gesi mtwara alafu chunguza matokeo ya wahusika ,utagundua vyeti na matokeo vilitumika tu kutoa nafasi kwa wezi kuwa karibu na rasilimali ili waibe kwa urahisi ,,,,,ndungai anawasilisha hoja kisiasa zaidi na si kwa maslahi ya mojakwamoja kwa ajiri ya Taifa,
 
Ndio maana waafrika tunakwama, dunia ya leo msomi anaamini Divisions na GPA?

Kama ndivyo nionyeshwe mchango wa Tanzania One kwa taifa na kwa maisha yao binafsi
 
wewe ajuza ni mjinga sn kwa umri wako ulitakiwa uwe na akili timamu + hekima na busara, Ndugai ana haki ya kugombea kama raia na mtanganyika Samia hana hati miliki na nchi hii na hakuna kosa mtu yoyote kugombea ndiyo maana ya democrasia, ujinga wako na udini unakutesa sn, kwani KKKT wakiahidiwa nafasi nyeti ni kosa? ila wakiahidiwa wavaa kanzu ni sawa? mpuuzi mkubwa wewe

Faiza amejaa udini sana!

-Kaveli-
 
Pamoja na hayo but CCM hupenda watu aina hiyo ili kupitisha mipango yao!! NB; Ndugai ile kitu ya atake asitake mpaka leo sintosahau ulipokua unataka kulipeleka Taifa!!

Kwamba ujinga wa watz ndiyo mtaji wa wanasiasa?

-Kaveli-
 
Kaabisa tena.

Sasa wewe kilichozushwa hapo kipi? Rais alishasema "hii yote ni 2025" wakati Ndugai anapigwa chini, jana kada mwingine wa CCM anaeheshimika kayasema. Hivi habari huwa zinakupita? Unalala sana? Au huna simu mpaka shemeji arudi kutoka kazini?

"Shemeji"????!!

-Kaveli-
 
Paskali mayalla Kwanini hawajakupeleka kwenye hii kesi ukaonyeshe umahiri wako wa sheria? Huyo Mkenya hicho kiingereza anakiongea hata ww si ungeweza kuongea. Au umeanza kusahau kiingereza maana umri umesogea kidogo? Kwa hicho anachoongea huyo mwanasheria kutoka Kenya hakuna kesi tutakaa tushinde. Ni kama mtu aliyeokotwa mtaani.

Yaani ni bonge la aibu, lakini ukikuta wanaongea na wasiojua kiingereza hapa nchini wanachomeka maneno ya kiingereza kama ni wasomi lakini utakuta ni uchafu mtupu.

Lugha ya mzungu bado ni kipengele kwa wabongo wengi including wasomi 'wabobevu'.

-Kaveli-
 
Mgogo ameamua kuwe na vita tu.

Hawa watu wakiwa nje ya mifumo huwa na akili sana. Sijui shida huwa nini wanapokuwa kwenye madaraka.

Acha aendelee tujue panapo vuja.
Tatizo ni kuwa hauwezi kuwa salama ukiwakosoa ukiwa ndani ya mfumo, watakutenga au watakufukuza, ona bunge lilivyo.
 
Back
Top Bottom