mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Nasikia MKUU kabisa kasoma kwa kuunga unga!!Hatari sana mkuu.
-Kaveli-
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia MKUU kabisa kasoma kwa kuunga unga!!Hatari sana mkuu.
-Kaveli-
Sema taratibu!!! ni siri ya nchi hiyo!!!!!!Kwani mwenye nyumba mwenyewe hali ipoje?
Mtu mjinga ukimwambia yeye ni mjinga umemuheshimu sana kwa kumpa haki yake, sio kumdharau.Mbona mnamzarau kiasi hiki Rais wetu?.
Hivi umezaliwa jana au? Ina maana alipokuwa anatahadharisha kuwa nchi inaweza kupigwa mnada huku akiwa madarakani ulikuwa haujazaliwa au? Ndugai anastahili heshima!Mgogo ameamua kuwe na vita tu.
Hawa watu wakiwa nje ya mifumo huwa na akili sana. Sijui shida huwa nini wanapokuwa kwenye madaraka.
Acha aendelee tujue panapo vuja.
Yaani bila ya JPM kufanya marekebisho ya sheria ihusuyo mikataba inayohusisha mali asili ya Taifa kulazimika kujadiliwa bungeni, hii nchi ingeuzwa kimya kimya wala tusingejua kitu!! Kama wanaweza kuthubutu kuuza mbele ya macho yetu, je huko gizani kimya kimya ingekuwaje?Tatizo ni ulafi wa viongozi hata hao wenye akili zao..
Unajua Mwenyezi Mungu hampendi mtu anayezusha mambo?
Pamoja na madhaifu yake kwa maoni aliyokuwa anatoa nadhani kuna namna alikuwa anachoka na madudu yanayoendelea.Hayo maoni yake aliyatoa akiwa bado yuko ndani ya mfumo.
-Kaveli-
Akili huwarudi when they have nothing to lose na si vinginevyo !! Tuwe wakweli tu !!Kuna muda hawa viongozi wetu akili huwarudia.
Hoja yake ina mashiko sana!
-Kaveli-
If you have something to lose unamezea but when you don’t have anything to lose unajiachia ! Very simple mathematics !! Kibongo bongo aisee !😅😅Kwani Tulia Ackson si first class…kiko wapi?
Zitaje hizo CHOCHOROHuyu naye ni wale wale, mbona chochoro kibao zilipita wakati wa uongozi wake.
Accidentally baadaye akachenji gia angani :- Nimekosa mimi nimekosa mimi nimekosa kabisa !!Hayo maoni yake aliyatoa akiwa bado yuko ndani ya mfumo.
-Kaveli-
Na huo ndio ukweli na mara nyingi yooote hiyo ni katika kujitengenezea political mileage na si vinginevyo !!Tatizo ni ulafi wa viongozi hata hao wenye akili zao..