Job Ndugai: Kwenye negotiations lazima upeleke 'brains' zako, first class thinkers. Form four (Makarai matupu) ataenda kunegotiate nini?

Job Ndugai: Kwenye negotiations lazima upeleke 'brains' zako, first class thinkers. Form four (Makarai matupu) ataenda kunegotiate nini?

Mgogo ameamua kuwe na vita tu.

Hawa watu wakiwa nje ya mifumo huwa na akili sana. Sijui shida huwa nini wanapokuwa kwenye madaraka.

Acha aendelee tujue panapo vuja.
Hivi umezaliwa jana au? Ina maana alipokuwa anatahadharisha kuwa nchi inaweza kupigwa mnada huku akiwa madarakani ulikuwa haujazaliwa au? Ndugai anastahili heshima!
 
Ipo Siku nchi itapigwa mnada - Ndugai

IMG_20230722_125608.jpg


-Kaveli-
 
Applicable as long as they are free from ILL INTENTIONS !!
 
Hehehe kumbe kuna siku Ndugai alitema madini kiasi hiki! Bahati mbaya sana hizo pass degree ndio zinazoenda kny negotiations. Asante kwa kuniita Kaveli

Alitema madini adhimu kabisa ya kizalendo.

Kutoka maktaba. 😎

-Kaveli-
 
Tatizo ni ulafi wa viongozi hata hao wenye akili zao..
Yaani bila ya JPM kufanya marekebisho ya sheria ihusuyo mikataba inayohusisha mali asili ya Taifa kulazimika kujadiliwa bungeni, hii nchi ingeuzwa kimya kimya wala tusingejua kitu!! Kama wanaweza kuthubutu kuuza mbele ya macho yetu, je huko gizani kimya kimya ingekuwaje?
 
Hahahaa kama sampuli za Ndugai ndo first class thinker elimu yetu inawalakiniii. Kilisemaje kuhusu Mjomba alipopesa njugu.........
 
Hayo maoni yake aliyatoa akiwa bado yuko ndani ya mfumo.

-Kaveli-
Pamoja na madhaifu yake kwa maoni aliyokuwa anatoa nadhani kuna namna alikuwa anachoka na madudu yanayoendelea.
 
Huyu naye ni wale wale, mbona chochoro kibao zilipita wakati wa uongozi wake.
 
Back
Top Bottom