Job Ndugai: Kwenye negotiations lazima upeleke 'brains' zako, first class thinkers. Form four (Makarai matupu) ataenda kunegotiate nini?

"....Kwenye negotiations tukae vizuri watanzania. Yako mambo ambayo lazima upeleke 'brains' zako. Siyo unapeleka Senior mwenye 'gentleman degree' na form four alipata 'makarai' matupu, ataenda ku-negotiate nini? Haiwezekani"

-Kaveli-
Dah!

Huyu Bhwana siku nyingi sana sikubaliani naye kutokana na historia ya uongozi wake Bungeni.
Sasa katika hili ni vigumu sana kukataa anachozungumzia hapa, pamoja na kwamba siyo rahisi kiasi hicho anacholenga yeye.

Ninachokubaliana naye, pamoja na kwamba hakukibainisha moja kwa moja ni huu ujinga mkubwa wa nchi yetu kufanya kila jambo kijinga jinga tu, kila mahali.
Hatuna umakini na lolote, tunaendeshwa tu na hii dhana ya "Huyu ni Mwenzetu" inayotumika huko ndani ya chama chao, CCM.

'Merit' haitambulishwi na jambo moja tu la ufauru, kuna mambo mengi, lakini sisi waTanzania hatuangalii hayo mambo yanayochangia kwa mtu kuwa na uwezo; tunachoweka mbele ni"Huyu ni Mwenzetu", basi!

Lakini sijasema "kiwango cha ufaulu" siyo kigezo muhimu. Naomba nieleweke hivyo.
 
Katika hili NDUGAI ni kichwa!!
 
"....Kwenye negotiations tukae vizuri watanzania. Yako mambo ambayo lazima upeleke 'brains' zako. Siyo unapeleka Senior mwenye 'gentleman degree' na form four alipata 'makarai' matupu, ataenda ku-negotiate nini? Haiwezekani"

-Kaveli-
Kabisa ni kama Waziri Nape tu, alivyoshindwa ku-negotiate na mtandao wa internet wa Elon. CCM ina watu wa ovyo sana
 
Profesa Abdulkarim Hamis Mruma profesa wa jiolojia na mjiolojia mkuu wa makinikia madini akiwa katika 'mahakama' / tribunal kimataifa kama shahidi mtaalamu wa madini katika sakata la mkataba / leseni kufutwa

22 March 2023
Winshear Gold Corp. v. United Republic of Tanzania (ICSID Case No. ARB/20/25)Hearing Day 3 - Video 1 - 15 February 2023

Source : ICSID

Huyo Mkenya wamemtoa wapi, au ndio hao wanasheria wa mchongo wanaoletwa na hawa majizi wa kura wa CCM? Hapa ndio nimejua kwanini wazungu hung'ang'ania mahakama za kwao. Na wangekubali kutumia hizi mahakama zetu za majizi, na waabudu viongozi majizi wangeshindwa kihuni.
 
Pale hatuangalii brain peke yake. Pale vinaamgaliwa vifungu. Vifungu vya Sheria na mikataba vinatulinda? Hata ukiwa na brain Kwa vifungu vilivyopo utakuwa na makalai tu. Utaongea lipi. Angalia mkataba na DP, Taifa litaaimamia kifungu kipi pale. Tuache uhayawani kabisa. Sheria zinawalinda wawekezaji, mikataba inawalinda wao, kesi zinasikilizwa kwao, wanaoamua ni WA kwao, lugha tunatumia Yao tunaponea wapi hapo. Hata malaika hawezi shinda.
 
Mbona wewe ulipokwenda matibabu India hukupeleka brains kunegotiate gharama zako za matibabu?
 
Profesa Abdulkarim Hamis Mruma profesa wa jiolojia na mjiolojia mkuu wa makinikia madini akiwa katika 'mahakama' / tribunal kimataifa kama shahidi mtaalamu wa madini katika sakata la mkataba / leseni kufutwa

22 March 2023
Winshear Gold Corp. v. United Republic of Tanzania (ICSID Case No. ARB/20/25)Hearing Day 3 - Video 1 - 15 February 2023

Source : ICSID

Paskali mayalla Kwanini hawajakupeleka kwenye hii kesi ukaonyeshe umahiri wako wa sheria? Huyo Mkenya hicho kiingereza anakiongea hata ww si ungeweza kuongea. Au umeanza kusahau kiingereza maana umri umesogea kidogo? Kwa hicho anachoongea huyo mwanasheria kutoka Kenya hakuna kesi tutakaa tushinde. Ni kama mtu aliyeokotwa mtaani.

Yaani ni bonge la aibu, lakini ukikuta wanaongea na wasiojua kiingereza hapa nchini wanachomeka maneno ya kiingereza kama ni wasomi lakini utakuta ni uchafu mtupu.
 
Ana AAAAAAAAA O'level one ya 7 Advance one ya 3 km Ndugai nae ni AAAAAAAA O'level one ya 7 na Advance one ya 3 na ukija University ana GPA ya 5.0 na Ndugai nae ana CGPA ya 5.0

First class
Advance!
 
Ndugai unahoja lakini naungana ni wengine kukupinga " A" ya kwenye cheti isiwe ndio green light yakupewa nafasi katika kila nyanja katika maisha kunawatu wapo gifted na baadhi wana "c" na wana demonstrate outstanding level of performance in different range of criteria na wapo wengine baadhi wana "A" kwakuwa ni wazuri kukariri linapokuja swala la performance in real world Hamna kitu .
 
Mnaongea msichokijua

No one nchini kwetu anaweza kuwazidi wazungu kwenye "one to one" hawa jamaa wana ujasiri na wanafundishwa tangu wadogo

Hata mumpeleke Tundu Lisu atapigwa KO mapema sana
 
"....Kwenye negotiations tukae vizuri watanzania. Yako mambo ambayo lazima upeleke 'brains' zako. Siyo unapeleka Senior mwenye 'gentleman degree' na form four alipata 'makarai' matupu, ataenda ku-negotiate nini? Haiwezekani"

-Kaveli-
Msukuma na kibajaji watetezi wa do world. Ndiyo brain za tz na kale kajamaa kabunge Jerry Slaa
 
Clipu fupi :

Prof. Abdulkarim Hamis Mruma kutoka Tanzania akiwa kama shahidi mkuu mwenye utaalamu wa madini akiitetea nchi kwenye kesi huko Kituo cha Kimataifa cha Utatuzi wa Migogoro (ICSID]

TOKA MAKTABA:
7 September 2017

Magufuli aibua siri nzito kuhusu Prof. Mruma

Mzalendo Prof. Abdulkarim Hamis Mruma alivyomkosha rais John Pombe Magufuli

Rais John Magufuli ameelezea sababu zilizopelekea aliyekuwa mwenyekiti wa kamati ya kuchunguza mchanga wa dhahabu (makinikia) unaosafirishwa nje Prof. Abdulkarim Mruma kwenye ripoti iliyoundwa na spika wa Bunge Job Ndugai, kuchunguza biashara ya almasi.
 
Katika hili NDUGAI ni kichwa!!
Ninakubaliana nawe, "katika hili" sijui imekuwaje akili zikamwingia kichwani!

Wengi wa hawa watu wanaathiriwa na CCM.
Wanapoingia huko, na kuanza kuwa "wenzetu" akili zinawaondoka kabisa.
 
"....Kwenye negotiations tukae vizuri watanzania. Yako mambo ambayo lazima upeleke 'brains' zako. Siyo unapeleka Senior mwenye 'gentleman degree' na form four alipata 'makarai' matupu, ataenda ku-negotiate nini? Haiwezekani"

-Kaveli-
Ndugai yupo sahihi, ninadhani alishawasoma hawa jamaa kitambo sana. watanzania wanatakiwa kumwomba radhi ndugai aisee. tulimtukana bure.
 
TOKA MAKTABA:
7 September 2017

Magufuli aibua siri nzito kuhusu Prof. Mruma

Mzalendo Prof. Abdulkarim Hamis Mruma alivyomkosha rais John Pombe Magufuli

Rais John Magufuli ameelezea sababu zilizopelekea aliyekuwa mwenyekiti wa kamati ya kuchunguza mchanga wa dhahabu (makinikia) unaosafirishwa nje Prof. Abdulkarim Mruma kwenye ripoti iliyoundwa na spika wa Bunge Job Ndugai, kuchunguza biashara ya almasi.

jiwe naye ilikuwa rahisi sana kumwingiza chaka, ukiamua tu kumwingiza chaka anaenda mazima.
 
Back
Top Bottom