Na huyu Hamza alipata nini?Kwa hiyo Prof Mruma alipata makarai?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na huyu Hamza alipata nini?Kwa hiyo Prof Mruma alipata makarai?
Dah!"....Kwenye negotiations tukae vizuri watanzania. Yako mambo ambayo lazima upeleke 'brains' zako. Siyo unapeleka Senior mwenye 'gentleman degree' na form four alipata 'makarai' matupu, ataenda ku-negotiate nini? Haiwezekani"
-Kaveli-
Katika hili NDUGAI ni kichwa!!Dah!
Huyu Bhwana siku nyingi sana sikubaliani naye kutokana na historia ya uongozi wake Bungeni.
Sasa katika hili ni vigumu sana kukataa anachozungumzia hapa, pamoja na kwamba siyo rahisi kiasi hicho anacholenga yeye.
Ninachokubaliana naye, pamoja na kwamba hakukibainisha moja kwa moja ni huu ujinga mkubwa wa nchi yetu kufanya kila jambo kijinga jinga tu, kila mahali.
Hatuna umakini na lolote, tunaendeshwa tu na hii dhana ya "Huyu ni Mwenzetu" inayotumika huko ndani ya chama chao, CCM.
'Merit' haitambulishwi na jambo moja tu la ufauru, kuna mambo mengi, lakini sisi waTanzania hatuangalii hayo mambo yanayochangia kwa mtu kuwa na uwezo; tunachoweka mbele ni"Huyu ni Mwenzetu", basi!
Lakini sijasema "kiwango cha ufaulu" siyo kigezo muhimu. Naomba nieleweke hivyo.
Kabisa ni kama Waziri Nape tu, alivyoshindwa ku-negotiate na mtandao wa internet wa Elon. CCM ina watu wa ovyo sana"....Kwenye negotiations tukae vizuri watanzania. Yako mambo ambayo lazima upeleke 'brains' zako. Siyo unapeleka Senior mwenye 'gentleman degree' na form four alipata 'makarai' matupu, ataenda ku-negotiate nini? Haiwezekani"
-Kaveli-
Profesa Abdulkarim Hamis Mruma profesa wa jiolojia na mjiolojia mkuu wa makinikia madini akiwa katika 'mahakama' / tribunal kimataifa kama shahidi mtaalamu wa madini katika sakata la mkataba / leseni kufutwa
22 March 2023
Winshear Gold Corp. v. United Republic of Tanzania (ICSID Case No. ARB/20/25)Hearing Day 3 - Video 1 - 15 February 2023
Source : ICSID
Na wala hajui siasa. Mahonda Zanzibar wanahadisia alipopata ujauzito skuli.Nasikia MKUU kabisa kasoma kwa kuunga unga!!
Profesa Abdulkarim Hamis Mruma profesa wa jiolojia na mjiolojia mkuu wa makinikia madini akiwa katika 'mahakama' / tribunal kimataifa kama shahidi mtaalamu wa madini katika sakata la mkataba / leseni kufutwa
22 March 2023
Winshear Gold Corp. v. United Republic of Tanzania (ICSID Case No. ARB/20/25)Hearing Day 3 - Video 1 - 15 February 2023
Source : ICSID
Advance!Ana AAAAAAAAA O'level one ya 7 Advance one ya 3 km Ndugai nae ni AAAAAAAA O'level one ya 7 na Advance one ya 3 na ukija University ana GPA ya 5.0 na Ndugai nae ana CGPA ya 5.0
First class
Daaah !!Kwa hiyo Prof Mruma alipata makarai?
Msukuma na kibajaji watetezi wa do world. Ndiyo brain za tz na kale kajamaa kabunge Jerry Slaa"....Kwenye negotiations tukae vizuri watanzania. Yako mambo ambayo lazima upeleke 'brains' zako. Siyo unapeleka Senior mwenye 'gentleman degree' na form four alipata 'makarai' matupu, ataenda ku-negotiate nini? Haiwezekani"
-Kaveli-
Ninakubaliana nawe, "katika hili" sijui imekuwaje akili zikamwingia kichwani!Katika hili NDUGAI ni kichwa!!
Ndugai yupo sahihi, ninadhani alishawasoma hawa jamaa kitambo sana. watanzania wanatakiwa kumwomba radhi ndugai aisee. tulimtukana bure."....Kwenye negotiations tukae vizuri watanzania. Yako mambo ambayo lazima upeleke 'brains' zako. Siyo unapeleka Senior mwenye 'gentleman degree' na form four alipata 'makarai' matupu, ataenda ku-negotiate nini? Haiwezekani"
-Kaveli-
TOKA MAKTABA:
7 September 2017
Magufuli aibua siri nzito kuhusu Prof. Mruma
Mzalendo Prof. Abdulkarim Hamis Mruma alivyomkosha rais John Pombe Magufuli
Rais John Magufuli ameelezea sababu zilizopelekea aliyekuwa mwenyekiti wa kamati ya kuchunguza mchanga wa dhahabu (makinikia) unaosafirishwa nje Prof. Abdulkarim Mruma kwenye ripoti iliyoundwa na spika wa Bunge Job Ndugai, kuchunguza biashara ya almasi.