Job Ndugai: Kwenye negotiations lazima upeleke 'brains' zako, first class thinkers. Form four (Makarai matupu) ataenda kunegotiate nini?

Job Ndugai: Kwenye negotiations lazima upeleke 'brains' zako, first class thinkers. Form four (Makarai matupu) ataenda kunegotiate nini?

Profesa Abdulkarim Hamis Mruma profesa wa jiolojia na mjiolojia mkuu wa makinikia madini akiwa katika 'mahakama' / tribunal kimataifa kama shahidi mtaalamu wa madini katika sakata la mkataba / leseni kufutwa


22 March 2023
Winshear Gold Corp. v. United Republic of Tanzania (ICSID Case No. ARB/20/25)Hearing Day 3 - Video 1 - 15 February 2023


Source : ICSID

56+ years of age VS 25 years of age
 
Kuna umuhimu wa kuwaandaa hao watu; wale wenye ufaulu mzuri wapewe mafunzo maalumu; lakini hii itategemea sera na sheria kama zinaelekeza kufanya hivyo.

Great. Je, sera na Sheria zipoje kuhusu hilo ulilozungumza?

-Kaveli-
 
Rais mwenyewe jinga tupu unafikiri hata hiyo brain ya kuwachambua ma brains ataitoa wapi.
Usimwite jinga ni Mama yako. Mara Mia aitwe Fisad maana fisad siotusi, ni kukosa maadil ya utumishi na uzalendo
 
"....Kwenye negotiations tukae vizuri watanzania. Yako mambo ambayo lazima upeleke 'brains' zako. Siyo unapeleka Senior mwenye 'gentleman degree' na form four alipata 'makarai' matupu, ataenda ku-negotiate nini? Haiwezekani"


-Kaveli-
Teh teh teh 😃 😃
 
Back
Top Bottom