Job Ndugai: Sijamisi Uspika, nina amani, haya ni mapito katika maisha

Job Ndugai: Sijamisi Uspika, nina amani, haya ni mapito katika maisha

Kwahio in comparison na mtu ambaye ametoka asubuhi hajui kama jioni atakula, watoto hawajalipiwa karo mama yake kijijini mgonjwa ana madeni kila kona na kwa kila mtu..., kila simu ikipigwa anajua watu wanampigia kumdai, in short hata physiological needs hapati...,

Ofcourse Binadamu hatosheki akishapata this goal anataka that other goal (ila ndugai atleast anauwezo wa kutimizia wategemezi wake their needs) kuliko yule mtoto wake anamuangalia kwamba baba ameniangusha nafukuzwa shule na ameshindwa kutimiza majukumu yake.
Ni kuambie hili hapa Tz watu wakawaida wasio kua na wakika kupata milo mitatu wana Amani na utulivu wanafsi kuliko wana siasa wetu, hususani wabunge na mawaziri, wengine paka wanaenda kwa waganga wajadi wengine huuza wutu wao ila wapate vyeo nk.
 
Jamaa angekuepo ofisini wakati huu,angetoa tamko kupondo baraza kuu la CHEDEMA hata kabla ya maamuzi kufanywa.
 
Ni kuambie hili hapa Tz watu wakawaida wasio kua na wakika kupata milo mitatu wana Amani na utulivu
Ndio maana nikasema its all in perspective..., kuwa na uhakika wa milo mitatu na kuwatimizia wahitaji wako mahitaji yao ni basic.. (kukosa hio ambayo watu wengi wanakosa kwa sasa ndio unapelekea mambo ya stress na magonjwa ya akili ambayo kwa sasa ni mengi) mtu unaweza ukawa umetosheka na unaishi kwa amani ila ni vigumu kuwa na amani kama mwanao amefukuzwa shule na wala hujui kama akiugua panadol unatoa wapi na mama mwenye nyumba anaweza akavamia wakati wowote kukufukuza (tabaka hilo ni wengi nchini)
wanafsi kuliko wana siasa wetu, hususani wabunge na mawaziri, wengine paka wanaenda kwa waganga wajadi wengine huuza wutu wao ila wapate vyeo nk.
Ndio maana nikasema kuna Hierarchical of needs huenda na hao wakosa milo mitatu wenye amani wakipata hizo nafasi watabadilika na kukosa amani kwa kufanya hayo ambayo wanasiasa sasa hivi wanafanya..., Ila hayo mengine ni kuendekeza tamaa na ubinafsi wakati hayo ya basic needs ni tofauti kati ya kuishi kama binadamu au kama dubwasha ambalo hata mifugo ina nafuu
 
Si anajua atatafuna Kodi zetu for the rest of his life.

The worst Speaker ever. apotelee mbali.
 
Ingekuwa kuna uwezekano jina la Ndugai kufutwa miongoni mwa maspika wa bunge ingekuwa bora sana
tunaweza kupeleka mswaada bungeni miaka ijayo tuliangalie hili, ni kweli ni aibu kubwa sana kwa taifa kuwa na mtu kama huyu kwenye historia yetu kama spika mstaafu.
 
Ndio maana nikasema its all in perspective..., kuwa na uhakika wa milo mitatu na kuwatimizia wahitaji wako mahitaji yao ni basic.. (kukosa hio ambayo watu wengi wanakosa kwa sasa ndio unapelekea mambo ya stress na magonjwa ya akili ambayo kwa sasa ni mengi) mtu unaweza ukawa umetosheka na unaishi kwa amani ila ni vigumu kuwa na amani kama mwanao amefukuzwa shule na wala hujui kama akiugua panadol unatoa wapi na mama mwenye nyumba anaweza akavamia wakati wowote kukufukuza (tabaka hilo ni wengi nchini)

Ndio maana nikasema kuna Hierarchical of needs huenda na hao wakosa milo mitatu wenye amani wakipata hizo nafasi watabadilika na kukosa amani kwa kufanya hayo ambayo wanasiasa sasa hivi wanafanya..., Ila hayo mengine ni kuendekeza tamaa na ubinafsi wakati hayo ya basic needs ni tofauti kati ya kuishi kama binadamu au kama dubwasha ambalo hata mifugo ina nafuu
Ni kweli kabisa ! The bigger your income the bigger your problems !! Na mbaya zaidi huwa pia wanakosa kabisa peace of mind kutokana na tamaa zao zinavyokuwa kubwa !!
 
Kutembelea gari yenye plate number special with government highly security unasema huja miss tena kwa mtu wa kujikweza aina ya ndugai sio kweli kabisa
anatambia kale ka sheria ka kwamba hatuwezi kumshitaki popote... na mafao anapata 80% ya marupurupu yote ya spika wa sasa. Yaani kama spika anapata mil 120 kwa mwezi - Basi Ndugai anapata mil 96 hadi kifo chake.
 
Shida yao kubwa ni kwamba peace of mind huwa haipatikani kwa bei yeyote ile !!

Alafu alijitengenezea sheria ya kinga ya uspika kutoshtakiwa
 
Shida yao kubwa ni kwamba peace of mind huwa haipatikani kwa bei yeyote ile !!
kaka wanalijua hilo? imagine siku za mwishoni za mwendazake kila mara niombeeeni....niombeeeni - jamaa hakuwa na amani ya rohoni kabisa !!
 
Alafu alijitengenezea sheria ya kinga ya uspika kutoshtakiwa
walikuwa wanajiwekea uzio - ni Tanzania pekee duniani labla na Somalia kwamba Spika ati hashitakiwi kwa makosa aliyotenda akiwa madarakani. Sheria za karne ya 17.
 
“Nikimaliza Ubunge tarudi kwenye asili yangu, nalima kidogo, nafuga kiasi, siyo kila jambo kuna nia mbaya, wito wangu tuwe na upendo, siyo kila jambo kupotosha, unafiki na kuchonganisha.”

Mbona alimtendea Tundu Lissu Chuki iliyo kuu?

Akamchongea kwa Wananchi wake kuwa ni Mtoro Bungeni, ilhali dunia nzima inafahamu kuwa Lissu anauguza majeraha ya kupigwa Risasi na wasiojulikana baada ya kuonekana anaipinga sana Serikali ya JPM?

Mbona alikuwa anawafukuza na kuwafokea wabunge wa upinzani pindi akiwa Spika?

Huu ndiyo Upendo?

Mnafiki namba Moja Tanzania ni yeye.
 
Kwa
Kutembelea gari yenye plate number special with government highly security unasema huja miss tena kwa mtu wa kujikweza aina ya ndugai sio kweli kabisa
Uwezo WA IQ yake na nafasi aliyoifikia katika uongozi WA nchi inabidi ajitafakari ni rushwa Gani alimpa Mungu, hadi akapumbazika!! Apige Magoti na kumshukuru
 
Kutembelea gari yenye plate number special with government highly security unasema huja miss tena kwa mtu wa kujikweza aina ya ndugai sio kweli kabisa
Hawezi lingana na wewe kamanda, hii roho ya kimasikini ya kuchukia waliofanikiwa ikemee kwa jina ya Yesu Kristo.
 
Back
Top Bottom