Itovanilo
JF-Expert Member
- Jul 30, 2018
- 2,314
- 5,150
Mimi ni mwanaume nina mke na watoto kifupi ni baba wa familia.naona upo busy kumtetea mmeo
Kama una mtazamo tofauti na mimi kosoa kistaarabu,maisha mafupi haya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni mwanaume nina mke na watoto kifupi ni baba wa familia.naona upo busy kumtetea mmeo
Ngoja niedit sema huwa nashindwa kumtofautisha na mwendazake
naona upo busy kumtetea mmeo
Hivi tuliwahi kuwa na Spika aitwaye Andunje Ndugai?Ndugu naheshimu mawazo yako lakini ninafikiri hata kama unachuki nae kiasi gani, si sawa kumuita "Marehemu" mtu aliye bado hai!
Ndugai ni mtu wa hovyo snKwahio in comparison na mtu ambaye ametoka asubuhi hajui kama jioni atakula, watoto hawajalipiwa karo mama yake kijijini mgonjwa ana madeni kila kona na kwa kila mtu..., kila simu ikipigwa anajua watu wanampigia kumdai, in short hata physiological needs hapati...,
Ofcourse Binadamu hatosheki akishapata this goal anataka that other goal (ila ndugai atleast anauwezo wa kutimizia wategemezi wake their needs) kuliko yule mtoto wake anamuangalia kwamba baba ameniangusha nafukuzwa shule na ameshindwa kutimiza majukumu yake.
Kipato huleta kiburi kwa wasiojitambua !! Until it's too late !!kaka wanalijua hilo? imagine siku za mwishoni za mwendazake kila mara niombeeeni....niombeeeni - jamaa hakuwa na amani ya rohoni kabisa !!
Leo ndo anajua kuna mapito kwenye maisha? Ama kweli Mungu hali chapati.
Aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kongwa, Job Ndugai amezungumzia maamuzi yake ya kutogomea Ubunge katika uchaguzi ujao akisema kuna watu wanapotosha kwa kuwa wanaona kuna jina lake.
Mbali nah apo ameulizwa kuhusu kama amemisi kiti cha Uspika ambacho alikuwa akikikalia kwa miaka kadhaa kabla ya kujiuzulu mwaka huu, amesema hajamisi kiti hicho.
“Hapana, ile ni huduma (Uspika), unafanya inapokuwa ni wajibu wako, Mtanzania mwingine anafanya inapokuwa wakati wake, nina amani nipo salama.”
Kuhusu kauli yake ya kutogomea uchaguzi ujao kutafsiriwa tofauti na baadhi ya watu, anasema:
“Ni kawaida yao wakiona kitu cha Ndugai lazima wapotoshe, jimboni kwangu wanaelewa hilo, nilichofanya niliwakumbusha tu kuhusu uamuzi wangu kuhusu kutogombea 2025, hilo jambo lilikuwepo na siyo jambo baya.
“Nikimaliza Ubunge tarudi kwenye asili yangu, nalima kidogo, nafuga kiasi, siyo kila jambo kuna nia mbaya, wito wangu tuwe na upendo, siyo kila jambo kupotosha, unafiki na kuchonganisha.”
Kuhusu kupotea kwake kipindi cha hapo kati baada ya kutangazwa kujiuzulu Uspika, Ndugai anasema:
“Ni maisha tu, ni sehemu ya mapito katika maisha, Mungu atajalia, ni vitu vya kawaida, tuendeleze umoja wetu lakini kubwa zaidi tuboreshe hali ya uchumi wetu, uchumi ya familia mojamoja… nawapenda sana Watanzania, viongozi wangu wa kitaifa mimi nawapenda sana na niwahakikishie hakuna sintofahamu yoyote kati yangu na Chama changu, ni mambo ya mitandao tu.”
CHANZO: JAHAZI – CLOUDS FM
Unapenda chama chako na kuchukia vyama vingine , waandishi wa habari na Wana Harakati huo ndio ukweli ulijua wewe Ni BINADAMU WA THAMANI KULIKO YYT NJE YA KITI CHAKO.
Aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kongwa, Job Ndugai amezungumzia maamuzi yake ya kutogomea Ubunge katika uchaguzi ujao akisema kuna watu wanapotosha kwa kuwa wanaona kuna jina lake.
Mbali nah apo ameulizwa kuhusu kama amemisi kiti cha Uspika ambacho alikuwa akikikalia kwa miaka kadhaa kabla ya kujiuzulu mwaka huu, amesema hajamisi kiti hicho.
“Hapana, ile ni huduma (Uspika), unafanya inapokuwa ni wajibu wako, Mtanzania mwingine anafanya inapokuwa wakati wake, nina amani nipo salama.”
Kuhusu kauli yake ya kutogomea uchaguzi ujao kutafsiriwa tofauti na baadhi ya watu, anasema:
“Ni kawaida yao wakiona kitu cha Ndugai lazima wapotoshe, jimboni kwangu wanaelewa hilo, nilichofanya niliwakumbusha tu kuhusu uamuzi wangu kuhusu kutogombea 2025, hilo jambo lilikuwepo na siyo jambo baya.
“Nikimaliza Ubunge tarudi kwenye asili yangu, nalima kidogo, nafuga kiasi, siyo kila jambo kuna nia mbaya, wito wangu tuwe na upendo, siyo kila jambo kupotosha, unafiki na kuchonganisha.”
Kuhusu kupotea kwake kipindi cha hapo kati baada ya kutangazwa kujiuzulu Uspika, Ndugai anasema:
“Ni maisha tu, ni sehemu ya mapito katika maisha, Mungu atajalia, ni vitu vya kawaida, tuendeleze umoja wetu lakini kubwa zaidi tuboreshe hali ya uchumi wetu, uchumi ya familia mojamoja… nawapenda sana Watanzania, viongozi wangu wa kitaifa mimi nawapenda sana na niwahakikishie hakuna sintofahamu yoyote kati yangu na Chama changu, ni mambo ya mitandao tu.”
CHANZO: JAHAZI – CLOUDS FM
Wana nongwa kumzidi Ndugai na kayafa....^_^[emoji34]Wabongo MNA Nongwa sana,yaani wakikaa madarakani mnalalamika,wakitoka mnalalamikaakibadilisha staili ya maisha mnalalamika...Nchi ya kushangaza sana hii.
Hivi ni maliyemu?Nilikuwa vitani sijafuatilia "hadisi" zake.Tangia uhuru, bunge la jamhuri halijawahi kupata spika wa hovyo kama marehemu andunje ndugai.
Mungu hadhihakiwiAnatafuta sympath tu, Ndugai ukatili ulioufanya dhidi ya Lissu baada ya kuchapwa risasi, kumnyima stahiki zake na kumpoka ubunge hakika Karma haitakuacha salama.
Mwenye amani moyoni anafanana hivi? 👇