Job Ndugai: Sijamisi Uspika, nina amani, haya ni mapito katika maisha

Ngoja niedit sema huwa nashindwa kumtofautisha na mwendazake

So wewe mrefu sana na mwema sana na mtu mzuri ambaye hujawahi kutokea. Unamjua Ndugai personally au ndo uhuru wa mitandaoni.

Sijui Lakini nobody mwenye akili timamu atapinga kuwa wewe ndo mmoja ya viumbe hai ( nashindwa kukuita binadamu mana itapotosha hata maana ya neno lenyewe) wa hovyo sana kutokea maeneo ya JF.

Kila binadamu hata huyo Mwendazake Ana watu wengi sana wanaompenda bado pamoja na kufariki kwake. Napitaga kwenye mitandao Hii. He was loved by many. Na huwezi kosa wasiompenda it’s normal.

Ushauri Wangu. Acha bangi. Fanya kazi. Hutapata muda wa kuchukia watu usiowajua personally.
 
naona upo busy kumtetea mmeo

Kaulizwa Kajibu. Alikaa kimya ilikuwa Pia issue kwa watu wa ajabu kama wewe. Personally hata simjui ndugai Lakini nachojua ni binadamu na pengine mwema sana kuliko wewe unayeropoka na kujificha mtandaoni.


Hapa ni jukwaani Unatakiwa kuheshimu mawazo ya wengine. Wewe baki na hoja zako na yeye Ana hoja zake. Sio issue ya undugu.
 
Hivi lazima kwani mtu aitwe Wakili msomi, Engineer,ama profesa Assad.huko nje Kuna professors Ila haitwi kwa taito zao Bali majina Yao kawaida.
Kuna kainjinia huko Tarura kanamzidi mkurugenzi salary. Yaani kamtu kadogo unakaweka kwenye kiganja kabisa.

Yaani we're emotional human beings who try to rationalize the emotions na kutumia logic.
At that time alikuwa na Ile endorpime imemjaa ikampatia euphoria na ego ikafanya kazi yake,saivi ndio anaona kuwa humble and having humility is the key.
Bado hajaanza kupata cortisol imwagike mwilini ataaongea lugha nyingine Tena.
Yaani hizi in deep rooted in our DNA is hard to take them out of us.
 
Ndugai ni mtu wa hovyo sn
 
kaka wanalijua hilo? imagine siku za mwishoni za mwendazake kila mara niombeeeni....niombeeeni - jamaa hakuwa na amani ya rohoni kabisa !!
Kipato huleta kiburi kwa wasiojitambua !! Until it's too late !!
 
Leo ndo anajua kuna mapito kwenye maisha? Ama kweli Mungu hali chapati.
 
Unapenda chama chako na kuchukia vyama vingine , waandishi wa habari na Wana Harakati huo ndio ukweli ulijua wewe Ni BINADAMU WA THAMANI KULIKO YYT NJE YA KITI CHAKO.
MUNGU NI FUNDI KIPIMO UPIMIACHO WENGINE NAWE UTAPIMIWA HICHO HICHO TENA KWA KUSUKWASUKWA NA KUJAA TELE.
 
Wabongo MNA Nongwa sana,yaani wakikaa madarakani mnalalamika,wakitoka mnalalamikaakibadilisha staili ya maisha mnalalamika...Nchi ya kushangaza sana hii.
Wana nongwa kumzidi Ndugai na kayafa....^_^[emoji34]
 
ni kweli kabisa kwamba maisha ni mapito !! ni fumbo la ajabu.

 
Akiambiwa awape wosia Watanzania kuhusu kuwa na msimamo na kutowayawaya atatoa ushauri gani?
 
Mwenye amani moyoni anafanana hivi? 👇

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…