Job Ndugai: Sijawahi kumjulia hali Tundu Lissu kwani ananiona kama shetani | Mbowe asikimbilie Urais kuficha aibu ya kushindwa Ubunge

Ndugai anafahamu vizuri sana ni kwa nini Lissu anamuona kama shetani kwani inafahamika vema role aliyo-play ktk sakata la kutaka kumuua Lissu na ndio kisa cha yeye kupigana apewe kinga ya kutoshtakiwa.
Hakuna siri chini ya jua.
 
Nimeishia hapo kwenye kuichelewesha dakika mbili au tatu kwa bunge la uingereza. Jirani akijipaka kinyesi, na wewe jipake ili iwe ngoma droo.
 
Spika-"S"
Shetani-"S"
Spika +Shetani= Ndugai!
Hakuna ubishi!
 
MheshimiwaJob ndugai wiki iliyopita alifanya mahojiano na kituo kimoja cha Tv na alieleza mengi.Mawili mmakubwa ni kwa sababu za kuzuia bunge mubashara lakini la pili ni kukiri kwa kinywa chake kuwa kuna wabunge wanaotumia bangi na madawa ya kulevya.
Huyu ndiye aliyekuwa kiongozi mkuu wa bunge la kumi na moja.
Kwa wahudhuriaje wa bunge tungeomba mtusaidie kukanusha au kukubaliana na hoja alizotoa.
 


Ndugai mjinga tu ....yeye ndo mvuta bangi asiyejuwa hata katiba ya nchi.
 
Hivi aliposema ana faili mirembo, kilichompeleka mirembe ni nini< ua alikuwa mvutabangi ambayo ilimfanya kichaa?
 
Eti huyu ndiye alikuwa spika!!
Hili nchi la ajabu sana
But mihimili yote imeyumba
Angalia yule jaji mkuu profesa alivyo wa hovyo kuruhusu sheria wasishitakiwe!
 
Mwanaharakati za wetu Ndugu Shangazi Pasi Tundu Lissu, anamzuka mpaka yeye mwenyewe anajiogopa, anabwata Mnyayuru yule Kama ana midomo miwili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…