Job Ngugai, Spika aliyejiuzulu atalipwa 80% ya Mshahara wa Spika maisha yake yote

Yaani anakula kiinua mgongo cha uspika kwanza. Tukitoka hapo anakula viinua mgongo vya ubunge. Alichopoteza ni kuendelea kua na cheo cha uspika. Ila maisha kaisha maliza

Kongwa oye, soko la ndugai oye..
Huwezi kuamini na bado atakufa kwa stress
 
Kwa wale ambao wanashangalia Ndugai kuondoka mwenzao atakula keki ya Taifa mpaka kaburini. Msikilize Lissu hapa
Your browser is not able to display this video.
 
Jinsi ndugai alivyopoteza Tonge lake la usipika😅😅😅
Your browser is not able to display this video.
 
Kilichomuuma Ndugai na kitakachomuuma hadi kaburini ni jinsi pride yake ilivyoumizwa kwa kuondolewa kwenye uspika bila kosa licha ya kuomba msamaha hadharani
 
Hapa ndio ule msemo wa 'Bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi' unapoingia...
 
Ukiyaambia majitu lichama limechoka wanafaidi wachache hawaelewi mpaka wenyewe wanasemana nchi itapigwa mnada huku wamenenepeana watu hawaekewi wacha tutesekeeee ndio akili laaaabda zitashtuka
 
Hao wanaowania hicho Kiti wakiona hizi benefits akili na Mwili vinazidi kusisimka!

Nafikiri Africa uongozi ni Mtamu kuliko developed countries
 
Sijawah ona ujinga kama huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…