G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,795
- 36,704
Huwezi kuamini na bado atakufa kwa stressYaani anakula kiinua mgongo cha uspika kwanza. Tukitoka hapo anakula viinua mgongo vya ubunge. Alichopoteza ni kuendelea kua na cheo cha uspika. Ila maisha kaisha maliza
Kongwa oye, soko la ndugai oye..