Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Fact: kesi na mgogoro wa majimbo 5 -- Arizona, PA, Georgia, Michigan, WisconsinKajitangaza Biden lkn bado kuna kesi kibao kafungua Trump, halafu Dec electoral college wakae waamue wampe nani na Congress wampitishe ndio inakuwa imeisha.
Obama style. Trump is a better friend for Africa than Joe BidenMkuu unaweza kunisaidia kuelewa ni upi mtazamo wa Joe katika nchi za Afrika?
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
"This election is far from over." ~ Donald J. TrumpTrump Ana Bull Dozer, Vifaru, Mizinga Lakini Anaondoka White House Kwa Amani Akikubali Yaliyotokea
Ingekuwa Hapa Promised Land(Tanzania)
Tungeulizana Anashindwaje Wakati Ana Vyote
Democrats plan to install a woman president -- the current VP-electBiden hata Mimi naona hawezi gombea second term
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Kugawa watu??? Nitamshauri Dkt. JPM asinadi tena sera za majimbo ili asitugawe WatanzaniaUnaweza kumfananisha Trump na huyu wa kwetu hapa Tz?
Maana wana tabia na akili zinazofanana. Wababe sana halafu wanapenda kuwagawa watu. Dunia ya siasa za kidemokrasia haipaswi kuwa na aina ya viongozi wa hivi.
Forget about this. Kesi mbili mahakamani tayari zimekuwa "dismissed quickly." Hizo za kesho J3 hazitakuwa tofauti. Strategy yake ni kutoacha media kavareji ili aendelee kuwa mwiba kwa JB ili 2024 agombee tena.Huna haja ya kuumia Kaka. Biden will NOT be sworn in as the 46th President. That will not happen. Trump anajiandaa kwenda mahakamani. Kapigwa faulo nyingi sana kwenye uhesabuji wa kura
Kwenye hili wataendelea kupambana nao ndio sheria ya USAChina watapumua sasa, nimeumia sana kidogo utawala wa Trump alikuwa akipambana na madikteta na magaidi
πππππ"This election is far from over." ~ Donald J. Trump
Kwa fikra zako umeonaje??!Unatoa taarifa au unalaumu?
Kiuchumi Biden hatafika popote
Unaona unang'atwa na black mamba au? Siyo America labda unazungumzia kule kunakojulikana kukikosababisha msiba kwa Taifa. No one is happy.Democrats wamemwibia Trump, kura zinaokotwa mpaka barabarani, kwny mawarehouuse nk nk halafu zinaenda kuhesabiwa, pia zilizoharibika kajumlishiwa Biden. Halafu States zilizoleta shida ni zile ambazo zinaamuaga nani awe Rais, nyingine ziliripoti on time, wao walikuwa wanasubiria Trump aongoze za awali ili wachakachue. Hata USA kuna maCCM kibao tuu
mtanange ndo unaanza sasaKajitangaza Biden lkn bado kuna kesi kibao kafungua Trump, halafu Dec electoral college wakae waamue wampe nani na Congress wampitishe ndio inakuwa imeisha.
Taabu sana ku-argue na MAZUZU!!!Tangu lini Chama cha Demoghasia & Maombolezo kikafanya maandamano ya amani; mnachojua nyie ni posho na ruzuku, mbali na hapo ni kutengeneza matukio na vurugu. Aliyewaingia akilini wananchi wazalendo mpaka wakaamua kuwakataeni kwenye ballot box anafaa tuzo ya heshima.
Rudia kusoma maandishi yako yenye rangi ya Sisiemu, halafu angalia tena hiyo "stay-it-meant" yako.Taabu sana ku-argue na MAZUZU!!!
Endeleea kutetea udhalimu wa wana-Lumumba wenzako but again, tofautisha kati ya maandamano na vurugu!!!Rudia kusoma maandishi yako hayo yenye rangi ya Sisiemu, halafu angalia tena hii "stay-it-meant" yako.