Joe Biden achaguliwa kuwa rais wa 46 wa Marekani

Bora wamempumzisha.

Biden tunaomba umrushie na makopo yake yote!
 
Chama cha democrat mgombea biden amepita ila chama hichi kinakera mambo yao ya kutetea ushoga hadharani na ndio maana mimi binafsi namkubari trump coz ni mcha dini na mambo hayo aliyapinga wazi wazi, watu hasa waafrica washangilie kwa nukta coz hichi chama agenda yao ni mambo kama hayo halafu ni kupenda vita now marekan lazima ipige nchi nyingine soon
 
Ametumia Miaka 4 kumseam Obama tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Turnout ya mwaka huu ilikuwa juu kidogo.

Na moja ya sababu ni chuki dhidi ya Trump.

Niliwahi kuandika uzi humu kuhusu akili ya Trump....huenda ndo Rais zuzu kuliko marais wote wa Marekani kuwahi kutokea.
Naomba unitag huo Uzi niupitie
 
Bora kina pompeo waondoke zao na balozi wao
 
We mnyaturu wa singida huko, usagaji wa marekani unakuhusu kitu gani?

Au unataka kuanza tena zile conspiracy theories zako za gay Illuminati?

Wazee wa "Firimason". Kiswahili chenyewe hamjui, lakini hamuishiwi vijihadithi vya hapa na pale.
Pole na samahani kwa kuingilia interests zako mkuu endelea kuzibuana mitaro tu kwa raha zako mpaka rectum ije kwa nje.. Naona umekuwa mkali kwelikweli
 
Unadhan atakayeumia ni polepole au commoner ?
Kwani kwa mfano alivyopigwa ban Bashite, huyo commoner anaumiaje?!

Na kama commoner wataumia katika kuwa-press hard madhalimu ya Lumumba, then let it be kwa sababu ni hayo hayo ma-commoner ndiyo yanayoongoza kushabikia udhalimu wa CCM!!

So, no so bad to pay for our own stupidity!!!
 
Kima kweli wewe! Hivi hamjisikiagi aibu? Hivi mtu mwenye dola ndo unamjengea hoja kulalama?
 
I am the happiest man today. Cheering with a glass of Black Label. Quenching the pain. You know what I mean.

I love Democrats and Obama inspired me more.

I love America, the father of Democracy. Respect to their strong and independent Institutions.

Africans, is there a lesson? So astonished, I mean the Astonishment of the so called our own making Democracy.

Americans I envy You!!! I see how happy are all are at this moment.

God Bless the United States of America
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…