Joe Biden ajitoa kugombea Urais wa Marekani 2024

She’s getting even more endorsements as time passes…

Currently, apart from Biden himself, others are congressional black caucus, congressional Hispanic caucus chairman, the Clintons.

Biden will stick with Harris. Let’s wait and see…
 
Wewe si ndio umeanzisha uzi ndani ya uzi? Au umesha sahau? Uzi unahusu Biden ila wewe ukataja Rais mwingine kabisa! Au wakati una comment akili zako ulikua umeziweka mfukoni?
Huyu hatogombea kama alivyonukuliwa awali ndio maana nikauliza lini atatangaza rasmi?
 
Muongo wewe! Lini hao electors wameenda kinyume na mshindi wa popular vote ya state?

Hujui kabisa unaloliongelea.
Uchaguzi uliopita wa 2020 kuna majimbo Republicans walitengeneza fake electors kumpa ushindi Trump, nafikiri kuna hadi kesi zinaendelea mahakamani kuhusu huo mpango wa kupindua matoke kupitia alternate electors.
 
Mimi nilikuwa nashangaa sana, America yenye watu milioni 300 au zaidi inakuwaje waweke wazee ilihali watu wa makamo au vijana wanao, kwa nini kumg'ang'ania Joe Baden na Donald Trump
 
Electors hawawezi kwenda kinyume na will ya raia wa majimbo na kujiamulia watakavyo wao.

Wakifanya hivyo italeta constitutional crisis.

Ndo maana haijawahi kutokea.

Ambacho huelewi ni nini?
Kwa sasa hivi siasa za Marekani zimebadilika sana, Electors wanaweza kwenda kinyume na matokeo ya popular vote/will ya raia, kilichokwamisha hilo kufanyika kwenye uchaguzi wa 2020 ni Mike Pence ambaye ndiye alikuwa ana certify kutokubalina na upande wa Trump kuhusu mipango ya aina hiyo.
 
Kamala ni shaka kubwa.

Huyo wa California anayo nafasi kubwa kuchukua kijiti.
 
Biden aliamini kwamba kuna “coordinated efforts” , “spearheaded” by elites, to oust him as a democrat nominee.

Sasa kama aliamini hivyo, lazima kutokee msuguano kidogo kwenye kumpata mrithi wa Biden.

Kuna waliokuwa na mgombea wao tayari wa kum “replace” Biden.

Biden ndo maana anakomaa Kamala ndo achukue usukani.
 
It’s gonna be wild one. Obama is yet to endorse her.
It's more complicated.
This isn't simply an issue of winning the presidency; which is highly doubtful with the lady, but winning Senate and the House are issues intertwined therein; which all depend on the Head on the ticket.
 
These endorsements are cosmetic at the moment. They can change rapidly if/when a more suitable candidate moves forward.
 
They lost to Nixon. I hope they don't loose the house at least. They can salvage something if they deny Trump the pleasure of having all the power at his disposal.
And where was the 1968 convention held at? Where is it this year?

🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…