Bhikalamba
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 1,916
- 2,756
Kama si wao wanaoamua, kwanini Hillary Clinton alishinda kwenye majority votes, lakini akashindwa kupitia kura za hao delegates 538. Je, houni power ya hao delegates kuamua nani awe Rais wa nchi despite the majority votes?.Nope. Na wewe usipotoshe.
Wanaoamua ni raia wa majimbo.
Hao 538 ni wajumbe wa hayo majimbo ambao huwakilisha uamuzi wa raia wa majimbo.
Koma kupotosha watu.