Joe Biden ajitoa kugombea Urais wa Marekani 2024

Joe Biden ajitoa kugombea Urais wa Marekani 2024

Nope. Na wewe usipotoshe.

Wanaoamua ni raia wa majimbo.

Hao 538 ni wajumbe wa hayo majimbo ambao huwakilisha uamuzi wa raia wa majimbo.

Koma kupotosha watu.
Kama si wao wanaoamua, kwanini Hillary Clinton alishinda kwenye majority votes, lakini akashindwa kupitia kura za hao delegates 538. Je, houni power ya hao delegates kuamua nani awe Rais wa nchi despite the majority votes?.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Dah! Yaani wewe ndo hujui kabisa jinsi ambavyo Rais wa Marekani anavyochaguliwa.

Hivyo baki tu na ujinga wako aisee maana kama mpaka sasa hujui jinsi Rais wao anavyochaguliwa huku una access ya mtandao, mimi siwezi na sitoweza kuufuta ujinga wako.
 
Babu alishajichokea. Roho i radhi lakini mwili ni dhaifu. Hapa bibi wa ushungi analo la kujifunza 😂🤣
 
Back
Top Bottom