Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Wakiwa Angola, Joe Biden anaonekana akisinzia wakati makamu wetu wa Rais akizungumza.
Babu Biden kachoka. Arudi kwa huko Delaware akapumzike na wajukuu wake.
Hii ni aibu.
View: https://youtu.be/3jqHuRkI6EE?si=Df4KXUIbUnRGzmxb
Kanadharau Sana .. Unajua Tanzania hakuwa sehemu ya Ratiba yakeHaka kababu kumbe kanadharau ?
IngekuwA mtanzania mngefanya vurugu usisemeWakiwa Angola, Joe Biden anaonekana akisinzia wakati makamu wetu wa Rais akizungumza.
Babu Biden kachoka. Arudi kwa huko Delaware akapumzike na wajukuu wake.
Hii ni aibu.
View: https://youtu.be/3jqHuRkI6EE?si=Df4KXUIbUnRGzmxb
Hahahaaa hapana bana. Biden kachoka.Lengo lilikuwa sio kukutana na Tanzania, Tz kajipendekeza tu Ndio maana kapuuzwa kusililizwa
AiseeKanadharau Sana .. Unajua Tanzania hakuwa sehemu ya Ratiba yake
Alzheimer disease, uzee. Angepumzika tu. Trump anweza kuwa kama hivi miaka minne ijayo.Wakiwa Angola, Joe Biden anaonekana akisinzia wakati makamu wetu wa Rais akizungumza.
Babu Biden kachoka. Arudi kwa huko Delaware akapumzike na wajukuu wake.
Hii ni aibu.
View: https://youtu.be/3jqHuRkI6EE?si=Df4KXUIbUnRGzmxb
Hivi kweli huyo angeweza tena kuwa Rais wa Marekani kwa miaka minne ijayo? 🤣Sleepy Joe needs to be in a retirement home
Sio dharau, hivi miaka 85 unafikiri ni mchezo? Famasiala nini?Haka kababu kumbe kanadharau ?
U mean kazmejichokea!?Sio dharau, hivi miaka 85 unafikiri ni mchezo? Famasiala nini?
Alikua awe Padre nadhaniMpango nae anaongea kwa kubembeleza. Kama padri vile