Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata hivyo anajitahidi.U mean kazmejichokea!?
Sidhani kama angemaliza hata kampeni maana kupambana na Trump sio shughuli ndogoHivi kweli huyo angeweza tena kuwa Rais wa Marekani kwa miaka minne ijayo? 🤣
Hakuna waziri mkuu huko.Hivi marekan ina waziri mkuu?
Kama yupo anaitwa nan?
Haina waziri mkuuHivi marekan ina waziri mkuu?
Kama yupo anaitwa nan?
Angesinzia wakati akiongea wa Kenya je?Wakiwa Angola, Joe Biden anaonekana akisinzia wakati makamu wetu wa Rais akizungumza.
Babu Biden kachoka. Arudi kwa huko Delaware akapumzike na wajukuu wake.
Haijalishi nani alikuwa anazungumza kwa wakati huo.Angesinzia wakati akiongea wa Kenya je?
Sidhani kasinzia kwa sababu Dkt. Mpango alikuwa akizungumza.Makamu wa Rais anaongea pumba tupu hata wewe ungesinzia. Kwa niaba ya SSH, bla bla blah
Labda speech imemboaHaijalishi nani alikuwa anazungumza kwa wakati huo.
Kitendo tu cha kusinzia ukiwa kazini ni faux pas ya kutosha.
Yote, Pumba zinachosha kuzisikiliza hasa ukiwa mzee, Rais wa USA.Sidhani kasinzia kwa sababu Dkt. Mpango alikuwa akizungumza.
Babu pumzi imeisha.