Wakiwa Angola, Joe Biden anaonekana akisinzia wakati makamu wetu wa Rais akizungumza.
Babu Biden kachoka. Arudi kwao huko Delaware akapumzike na wajukuu wake.
Hii ni aibu.
View: https://youtu.be/3jqHuRkI6EE?si=Df4KXUIbUnRGzmxb
Video ndefu zaidi hii hapa….
View: https://youtu.be/Ikyt0nNX5lI?si=fj6waQjv-t4m6aC3
Na bado alikuwa anataka aendelee kuongoza kwa miaka 4 zaidi!! 🤣🤣🤣