Joe Biden asinzia wakati Makamu wa Rais Dkt. Mpango akizungumza

Joe Biden asinzia wakati Makamu wa Rais Dkt. Mpango akizungumza

Sasa niambie hapo ubishi upo wapi?
Kwani nime kataa kwamba Biden hana matatizo hayo?
Usihamaki. Jaribu tu kunielewa.
Nafikiri unazungumzia Alzheimer, dementia pia inawapata vijana. Ila ni very rare circumstances.

Kiongozi wa nchi ni wazi aweze ku -deliver two, three minute speech with maximum confident.
 
Nafikiri unazungumzia Alzheimer, dementia pia inawapata vijana. Ila ni very rare circumstances.

Kiongozi wa nchi ni wazi aweze ku -deliver two, three minute speech with maximum confident.
Nakwenda kumsikiliza.
 
Kalamu na - mcriticize Dr Mpango kidogo, hotuba yake ilikuwa ya hovyo haikuzingatia diplomatic protocols pia haina mamlaka, kauli thabiti.
Utakuwa na matatizo kichwani, ulitegemea Mpango atoe hotuba yenye mamlaka (commanding) mbele ya kina Biden?
 
Utakuwa na matatizo kichwani, ulitegemea Mpango atoe hotuba yenye mamlaka (commanding) mbele ya kina Biden?
Naomba usikilize hotuba yake kwanza. kabla ya kuongea. Anaweweseka, hamtambui Biden. Hotuba ni low profile akilialia.
 
hayo yaache mkuu 'Gagnija'. hata sijui atakuwa ana'command' kitu gani hasa!
Huenda kuna 'speech' nyingine ambayo mkuu 'Lookmasin' kaisikiliza toka kwa Philip Mpango na kutoka na hayo aliyo sema juu ya "commanding speech".
Hiki kipande nilicho sikiliza hapo juu, sioni hayo anayo yazungumzia 'Lookmasin'. Nadhani yeye anazo hisia zake pembeni zaidi ya speech yenyewe.
 
Naomba usikilize hotuba yake kwanza. kabla ya kuongea. Anaweweseka, hamtambui Biden. Hotuba ni low profile akilialia.
Hamtambui Biden kama Rais wa US, au hamtambui vipi! Tufahamishe tuanze kujjadili.

Mwaliko ulikuwa wa mkuu wa nchi, Samia alikuwa na udhuru gani?
 
Baada ya kusikia Tanzania ipo katika orodhs ya kupigwa Ban kwenda marekani, wakaamua wajipendekeze kwenye kikao cha Biden na Angola . Ndio maana kapuuzwa
 
Duh!

Just on the basis of that speech, you have judged and concluded on his lack of competence?
Yes on speaking engagement. He is extremely poor. I think he is very, extremely competent on economics matters.
 
Duh!

Just on the basis of that speech, you have judged and concluded on his lack of competence?
Nikukumbushe tu mkuu Kalamu, 2020 Kimei alivyoamua kugombea ubunge Vunjo, tulisoma maandiko mengi humu kuwa Mpango ajiandae kukabidhi wizara ya Fedha kwa Kimei.

Hayakuwa mawazo mabaya, lakini binafsi yalinishtua yalipotoka kwa wafuasi wa ccm na chadema. Inawezekana, hata leo, Mpango anaonekana si competent kwa kuwa tu hatokei kule tulikotaka atoke.

Mpango ni mpango wa Mungu. 2015 hakuwa na ndoto hata ya kugombea udiwani, leo ni makamu wa rais.
 
Aliona Tanzania haina jambo la maana la kusikiliza ndiyo maana akaona Bora huo muda autumie kulala tu.
 
Anacho cha vitabu. kukariri. Kiuchumi. Kuhutubia dunia bado sana. Hafiki hata nusu ya Obama,Nyerere, Mkapa.

He is extremely boring speaker.
Umemlinganisha parefu sana. Mi namaanisha na wa level yake kama akina ....... Ondoa Nyerere na Mkapa
 
Back
Top Bottom