Joe Biden asinzia wakati Makamu wa Rais Dkt. Mpango akizungumza

Joe Biden asinzia wakati Makamu wa Rais Dkt. Mpango akizungumza

Hamtambui Biden kama Rais wa US, au hamtambui vipi! Tufahamishe tuanze kujjadili.

Mwaliko ulikuwa wa mkuu wa nchi, Samia alikuwa na udhuru gani?
Hueleweki unauliza nini? Be clear on your own mind first.
 
Duh!

Just on the basis of that speech, you have judged and concluded on his lack of competence?
Yes, on speaking. Nyerere, Mkapa, Obama will not have such issue. Msikilize Rais wa Zambia hapo anavyotema madini. Sauti ya mamlaka, kauli thabiti anavyoongea kwa kujiamini. Akianza kuongea hata wewe huwezi kulala. Hakuna kujiumauma.
 
UKIWA NA NGUVU YA MUNGU NDANI YAKO WATU WALIO POSSESED NA SHETANI KUSINZIA NI KAWAIDA.
LIVE LONG MPANGO NA ENDELEA KUMWABUDU MUNGU WA KWELI, TUNAKUHITAJI HAPO 2025 ✝️🙏🏿💯💪🏿

Acha kumuhusisha Mungu na watekaji.
 
IngekuwA mtanzania mngefanya vurugu usiseme
Mentality ya kitumwa ingekuwa ni kiongozi mwafrika hakuna rangi angeacha kuona.Akifanya mzungu anatafutiwa sababu Inferiority complex ni tatizo kubwa sana.
 
Nilinukuu hapa JF kwa Bi FaizaFoxy madai ya uwepo wa Robot "Biden" , Nawe umekuwa mtu mwingine ukiuliza "robot". Je kuna ukwelie wowote? Nyani Ngabu huenda hili limenipia
Utembeaji wake na jinsi mikono unavyoeweka na ugeukaji pia unatia mashaka na baadhi ya vidio zake ukiangali kuna matendo sio ya kawaida kuna muda anaelekezwa jambo anabaki kuzubaa kama kinyago
 
Mpango anavyoongea hata wewe utasinzia tu...

Na ukiongezea alikuwa anasoma 'script' ya wanavuozungumza wanaCCM kupongeza mkuu mafanikio ya mteuzi wao na mawazo ya mwenyekiti wa chama dola kongwe. Inaonesha anayesoma au kutoa hoja haamini katika kile anachosoma au kusema kwa kusifia, kutukyza na kuenzi hadi inaathiri sound effect
 
Inabidi washauri wake wampe mbinu za Public speaking.
Of course, halafu sio kitu kigumu kukimudu. Ukiwa kiongozi wa juu your words, presence, mannerism vyote vina count. Unarepresent Taifa lako.
 
Na ukiongezea alikuwa anasoma 'script' ya wanavuozungumza wanaCCM kupongeza mkuu mafanikio ya mteuzi wao na mawazo ya mwenyekiti wa chama dola kongwe. Inaonesha anayesoma au kutoa hoja haamini katika kile anachosoma au kusema kwa kusifia, kutukyza na kuenzi hadi inaathiri sound effect
Hawa watu ni kama hawajielewi. Wanafikiri wanaweza kuteka, kufunga, kuua kuiba chaguzi na bado wakaheshimika.

Ni kama kiongozi wao, jengo limeporomoka kariakoo anakimbilia Brazil. Alipokuwa anahutubia wenzake ndio muda wao wa kula, kuongea.


Can you imagine wakati wake Nyerere akiongea kudharauriwa hivyo.
 
Back
Top Bottom