Siasa za west zina vita with many fronts. Moja ya vita ni services against politicians.
US civil services gambled with Biden, civil services za nchi technically ndio wanaendesha nchi lakini hawana mamlaka ya kikatiba.
Wakipata raisi mwenye agenda zake na mandate kazi yao inakuwa ngumu sana, kufanya wanayotaka. Wakimpata mtu kama Biden it Works on their favour kwenye agenda zao.
They got too comfortable with Biden na kudhani wanaweza shinda nae uchaguzi, ili waendelee fanya yao, Things have changed toka zama za Roosevelt (not many Americans knew he was disabled on a wheelchair at the time).
Shida ni kudhani zama hizi wangeweza toboa na Biden ambae psychologically hakuwa sawa for everyone to see na siasa za marekani; Europę Biden watu wasinge bahatisha. Achana na politics hata Catholic Church kwa nafasi ya Pointiff going by the movie the ‘conclave’ kuna watu wangemvaa kama Pope is incapable it’s amazing how democrats waliruhusu Biden kuwa mgombea wao.