Mimi sitafuti uongozi wa nchi hii. Lakini nitakwambia waziwazi hapa, hayo ya upendeleo wa mtu, kundi maalum nje ya u-Tanzania wake hilo lisingewezekana kabisa. Sifa kuu ndani ya maisha yangu ni -u-Tanzania, na uwezo wa mTanzania yeyote kushika nafasi anayo pewa kuiongoza., basi.Wewe tukupe uongozi leo utakuwa na kasoro zako, blind spots zako labda utaangalia waliokuunga mkono ukawapa vipaumbele.
Na pengine, ndiyo sababu siwezi kuwa kiongozi wa nchi hii, kwa sababu hizo hizo. I am too idealistic. But I don't regret it