Ed Kawiche
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 2,987
- 5,566
Daah! 😅😅Kuna Mwanaccm Mcha Mungu?
Huyo mzee ni Mcha Mungu, btw Biden inabidi aende Vatican akafanyiwe exorcism na mapadre.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah! 😅😅Kuna Mwanaccm Mcha Mungu?
Wakiwa Angola, Joe Biden anaonekana akisinzia wakati makamu wetu wa Rais akizungumza.
Babu Biden kachoka. Arudi kwao huko Delaware akapumzike na wajukuu wake.
Hii ni aibu.
View: https://youtu.be/3jqHuRkI6EE?si=Df4KXUIbUnRGzmxb
Video ndefu zaidi hii hapa….
View: https://youtu.be/Ikyt0nNX5lI?si=fj6waQjv-t4m6aC3
Anacho cha vitabu. kukariri. Kiuchumi. Kuhutubia dunia bado sana. Hafiki hata nusu ya Obama,Nyerere, Mkapa.MPANGO ANA KIINGEREZA KIZURI
Usimlaumu, ni matokeo ya "Jet lag" hayo!Video ndefu zaidi hii hapa….
Sasa unataka awe Obama? Mambo gani hayo!Anacho cha vitabu. Kukariri. Kiuchumi. Kuhutubia dunia bado sana. Hafiki hata nusu ya Obama.
Ukweli mtupuMpango anavyoongea hata wewe utasinzia tu...
This a newsworthy incident.Na siku AKIJAMBA ,mtasema Biden Amejamba wakati , Philip Mpango anahitubia 😀😀😀🤔🤔
Thread 🧵 zingine bhana😀😀
No sitaki awe Obama. Awe yeye, lakini ajiamini, kauli thabiti, acknowledge all guest in high table, all individuals. Delivery speech bila kutetemeka Speech ya dakika tatu. Nyerere. Kambona, Mkapa hizo ni sehemu zao.Sasa unataka awe Obama? Mambo gani hayo!
Sasa haya yana mhusu nini Obama; maanake nimeona ukimtaja kwenye sentensi hiyo.No sitaki awe Obama. Awe yeye, lakini ajiamini, kauli thabiti, acknowledge all guest in high table, all individuals. Delivery speech bila kutetemeka Speech ya dakika tatu.
Lini kafikisha 85?Umri wake ni mkubwa, kama ana 85 ni anaonewa tu kukalia hicho kiti.
Twende taratibu nitakuelewesha kila kitu taratibu.Sasa haya yana mhusu nini Obama; maanake nimeona ukimtaja kwenye sentensi hiyo.
BTW: Alzheimer disease , siyo "uzee". Naona mtindo wako ni wa kupindisha pindisha sana!
Ninakuelewa mkuu 'Lookmasin', pengine wewe ndiye huni elewi.Twende taratibu nitakuelewesha kila kitu taratibu.
Obama ni mfano wa mtu anayeongea vizuri kwenye hadhira yoyote.
Wataalamu wa USA wanasema Biden ana Alzheimer disease since 2020. Ana tatizo la kumbukumbu, kuongea kuanguka wakati mwingine.
Halafu naona wewe ni mbishi by nature. Umeshaona kiongozi gani wa USA anasinzia, anaanguka akipanda ndege, anasahau vitu.Sasa haya yana mhusu nini Obama; maanake nimeona ukimtaja kwenye sentensi hiyo.
BTW: Alzheimer disease , siyo "uzee". Naona mtindo wako ni wa kupindisha pindisha sana!
Huyo mwenye ushungi nani kampeleka hukoKababu kamechoka juzi kwenye mkutano wa G20 kule Brazil wakati wanataka kupiga picha ya pamoja kakawa kamechelewa kanabadilisha diaper
Viongozi wengine wakaona isiwe taabu wakapiga zao picha ya pamoja bila kababu kuwepo
View attachment 3169063
Kama Unajidharaulisha lazima udharauliwe.Haka kababu kumbe kanadharau ?
Sasa niambie hapo ubishi upo wapi?Halafu naona wewe ni mbishi by nature. Umeshaona kiongozi gani wa USA anasinzia, anaanguka akipanda ndege, anasahau vitu.
Kalamu na - mcriticize Dr Mpango kidogo, hotuba yake ilikuwa ya hovyo haikuzingatia diplomatic protocols pia haina mamlaka, kauli thabiti.Ninakuelewa mkuu 'Lookmasin', pengine wewe ndiye huni elewi.
Hiyo "Alzheimers disease", siyo "Uzee" kama ulivyo eleza hapo mwanzo. Ndiyo, inawezekana anayo hiyo Alzheimer's kama wataalam walisha bainisha hivyo, lakini pia 'Dementia', si na yenyewe inazo dalili hizo (hapa ni kama umejisemea tu bila ushahidi wa hao wataalam ulio wataja).
Kuhusu mfano wa Obama, hata mimi naamini ni mhutubiaji mzuri sana; afterall, ni ile speech yake aliyo itoa kwenye Mkutano wa chama chake kule Massachussett, ndiyo iliyo muinua toka wakati huo hadi kuwa mgombea na hatimae kuwa rais.
Lakini hili silo tunalo zungumzia hapa, kama ulivyo liweka kwenye hiyo hotuba ya Phillip Mpango. Hebu yatazame tena uliyo andika hapo, halafu ujiridhishe kuwa mfananisho wako ulikuwa ni sahihi kweli kati ya hawa wawili.
Sawa.Kalamu na - mcriticize Dr Mpango kidogo, hotuba yake ilikuwa ya hovyo haikuzingatia diplomatic protocols pia haina mamlaka, kauli thabiti.
Quite unnecessary.Anacho cha vitabu. kukariri.