Joe Biden asinzia wakati Makamu wa Rais Dkt. Mpango akizungumza

Joe Biden asinzia wakati Makamu wa Rais Dkt. Mpango akizungumza

Hahahaaa hapana bana. Biden kachoka.

Analazimisha tu hiyo kazi ya urais.

Tofauti ya masaa kati ya Marekani na Angola ni kubwa vya kutosha.
Unajua usafiri aliotumia,air force one ina kitanda,ina office,ina bafu,choo na kila kitu,mpaka corridors ndefu tu kama akijisikia kutembea unatembea,ni kama uko nyumbani tu,swala la kusema kachoka halipo,huyo umri na maradhi vinamchosha analazimisha tu...
 
Wakiwa Angola, Joe Biden anaonekana akisinzia wakati makamu wetu wa Rais akizungumza.

Babu Biden kachoka. Arudi kwao huko Delaware akapumzike na wajukuu wake.

Hii ni aibu.


View: https://youtu.be/3jqHuRkI6EE?si=Df4KXUIbUnRGzmxb

Video ndefu zaidi hii hapa….


View: https://youtu.be/Ikyt0nNX5lI?si=fj6waQjv-t4m6aC3

 
Unajua usafiri aliotumia,aif force one,ina kitanda,ina office,ina bafu,choo na kila kitu,mpaka corridors ndefu tu kama akijisikia kutembea unatembea,ni kama uko nyumbani tu,swala la kusema kachoka halipo,huyo umri na maradhi vinamchosha analazimisha tu...
Kumbuka pia kuna mambo kama jet lag na time difference.
 
IMG-20241204-WA0000.jpg


Kazi kwenu wadanganyika
 
Hahah raisi P.Mpango (PhD) anasifia mradi wa USA ambao ni against dpworld, kweli hali siyo hali, huo mradi ni adui na mpinzani wa mkubwa wa matapeli dpworld, kwa maana unaunganisha Kongo (dr), Zambia na Afrika yote ya kusini na bandari ya Angola ambayo iko Antlantic moja kwa moja kuelekea Christian Western World, hii ya dpworld inakwenda india na irani, mfyuuuu
 
Kababu kamechoka juzi kwenye mkutano wa G20 kule Brazil wakati wanataka kupiga picha ya pamoja kakawa kamechelewa kanabadilisha diaper

Viongozi wengine wakaona isiwe taabu wakapiga zao picha ya pamoja bila kababu kuwepo

View attachment 3169063
kwenye huu mkutano wakati tunatoa speech chef akaanza kukawa msosi watu wakawa wanapita na sahani za wali
 
Back
Top Bottom