wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Ikija Kwny case ya Maadui wa US kupewa nuclear bombs then zinakuja lugha za Scenario ya Real war hatuijui,ππHatujui scenario ya real war? Hatujui hata sasa vita hii itachukua direction gani kama ilivyokua Second World War Mkuu?
ππ Hio Ni kawaida Sana pale ambako kila source inaonyesha Russia Ina nuclear warheads nyingi kuliko US/NATO then tutakua vilaza,Ila ingekua US inazo nyingi source zingekua reliable.Mkuu unadhani Google inaweza kukupa real assessment ya nuclear arsenals! Tutakuwa wote vilaza kuamini data hizo!
Wakupuliza wewe mwenye real assessing ungetoa mkuu? Mimi siko Iliyokua KGB au CIA, mwenzangu una vyanzo vya habari!Ikija Kwny case ya Maadui wa US kupewa nuclear bombs then zinakuja lugha za Scenario ya Real war hatuijui,ππ
yani hata nnchi yenyewe haiwezi kutoa data za ukweli lazima ijiweke kimwamba masilaha kama yote kipomo ni hapo ground mazee muulize Russia...Mkuu unadhani Google inaweza kukupa real assessment ya nuclear arsenals! Tutakuwa wote vilaza kuamini data hizo!
ππ Inapokuja suala la US/NATO kua na less nuclear warheads kulinganisha na Russia then habari hizo zinageuka kua Propaganda πππmkuu tambua nchi nyingi zinajiendesha kupitia propaganda na vitisho kwa maadui zake hakuna nchi itataka siri zake ziwe bayana hasa umiliki wa silaha mkuu vita ndio kipimo hasa.. hata hizo nuke naona ni kama zinatumika kwa vitisho zaidi...
ππ Kumbe tunavyokuaga tunajadili humu mambo ya kivita tunakuaga sisi Ni military analysts sio?ππ InterestingWakupuliza wewe mwenye real assessing ungetoa mkuu? Mimi siko Iliyokua KGB au CIA, mwenzangu una vyanzo vya habari!
Ina maana haitawaathiri na wao? Hebu nipe elimuWewe hujui vizuri nyuklia, dunia hii Inaenda kuchakazwa sekunde tu
Kwa hiyo Data za Russia unazijua ?Tuliona Soviet Union inaangukia pua hatukuamini!yani hata nnchi yenyewe haiwezi kutoa data za ukweli lazima ijiweke kimwamba masilaha kama yote kipomo ni hapo ground mazee muulize Russia...
sawa mlijitapa hivi hivi na kwamb mnaweza ikamata Ukraine ndani ya siku kadhaa Leo mnakimbiza mikono kwenye nuke wacha inyeshe tutaona panapo vuja.ππ Inapokuja suala la US/NATO kua na less nuclear warheads kulinganisha na Russia then habari hizo zinageuka kua Propaganda πππ
Boya mwenyeweKumbe hujui USA Japan ninmajirani haha we boya sana
Weka source hapa ikionyesha Russia ilisema inaenda kuikamata Ukraine ndani ya siku Chache.sawa mlijitapa hivi hivi na kwamb mnaweza ikamata Ukraine ndani ya siku kadhaa Leo mnakimbiza mikono kwenye nuke wacha inyeshe tutaona panapo vuja.
Kitendo tu cha kujadili mambo ya vita we military analyst to some extent!ππ Kumbe tunavyokuaga tunajadili humu mambo ya kivita tunakuaga sisi Ni military analysts sio?ππ Interesting
ππ Wewe Kama military analyst umeshawahi kufanya kazi kwny agency gani?Kitendo tu cha kujadili mambo ya vita we military analyst to some extent!
Mkuu kitendo tu cha kujadili vita, au nuclear capabilities inatufanya tuwe military analysts...ππ Kumbe tunavyokuaga tunajadili humu mambo ya kivita tunakuaga sisi Ni military analysts sio?ππ Interesting
hata nikiweka bado utabisha tu mana hata huyo Putin mwenyewe ni mtu wa kuongea hivi kesho hivi anategemea upepo wa vita ulivyo vipi wewe mrusi wa igunga ukubali alicho kisema jana ..?Weka source hapa ikionyesha Russia ilisema inaenda kuikamata Ukraine ndani ya siku Chache.
Na ukishindwa kuweka hio source then toka hapo ya nyumba angalia juu na ujipige pige kifua Mara 3 huku ukisema hakika Mimi nilipewa kichwa kwa ajili ya kufugia nywele tu πππ
Wewe ndio unasema! We all doing a very limited assessment /discussion kutokana na ufahamu wetu! Source zetu za information ni ndogo sana na ziko biased!ππ Wewe Kama military analyst umeshawahi kufanya kazi kwny agency gani?
Maana Leo ndio Nimejua Kuna mambo kabla ya kuyajadili inabidi uwe umeshakua KGB au CIA.
Ni kweli,ndio maana hapa bongo kwny hivi vijiwe vyetu vya kahawa wanakobishana khs Simba na Yanga kile kutendo Cha wao kubishana tu kinawafanya wabishani kua wachambuzi wa Michezo.Mkuu kitendo tu cha kujadili vita, au nuclear capabilities inatufanya tuwe military analysts...
Wewe si ndio umeleta story za KGB na CIA?Wewe ndio unasema! We all doing a very limited assessment /discussion kutokana na ufahamu wetu! Source zetu za information ni ndogo sana na ziko biased!
πππ Maneno meeeeeeeeeeeeeeeengi,weka source hapa.hata nikiweka bado utabisha tu mana hata huyo Putin mwenyewe ni mtu wa kuongea hivi kesho hivi anategemea upepo wa vita ulivyo vipi wewe mrusi wa igunga ukubali alicho kisema jana ..?