Joe Biden: Kuna tishio la moja kwa moja la nyuklia kutoka Urusi

Hatujui scenario ya real war? Hatujui hata sasa vita hii itachukua direction gani kama ilivyokua Second World War Mkuu?
Ikija Kwny case ya Maadui wa US kupewa nuclear bombs then zinakuja lugha za Scenario ya Real war hatuijui,πŸ˜„πŸ˜„
 
Mkuu unadhani Google inaweza kukupa real assessment ya nuclear arsenals! Tutakuwa wote vilaza kuamini data hizo!
πŸ˜„πŸ˜„ Hio Ni kawaida Sana pale ambako kila source inaonyesha Russia Ina nuclear warheads nyingi kuliko US/NATO then tutakua vilaza,Ila ingekua US inazo nyingi source zingekua reliable.

We are living in most interesting times πŸ˜„πŸ˜„
 
Ikija Kwny case ya Maadui wa US kupewa nuclear bombs then zinakuja lugha za Scenario ya Real war hatuijui,πŸ˜„πŸ˜„
Wakupuliza wewe mwenye real assessing ungetoa mkuu? Mimi siko Iliyokua KGB au CIA, mwenzangu una vyanzo vya habari!
 
Mkuu unadhani Google inaweza kukupa real assessment ya nuclear arsenals! Tutakuwa wote vilaza kuamini data hizo!
yani hata nnchi yenyewe haiwezi kutoa data za ukweli lazima ijiweke kimwamba masilaha kama yote kipomo ni hapo ground mazee muulize Russia...
 
mkuu tambua nchi nyingi zinajiendesha kupitia propaganda na vitisho kwa maadui zake hakuna nchi itataka siri zake ziwe bayana hasa umiliki wa silaha mkuu vita ndio kipimo hasa.. hata hizo nuke naona ni kama zinatumika kwa vitisho zaidi...
πŸ˜„πŸ˜„ Inapokuja suala la US/NATO kua na less nuclear warheads kulinganisha na Russia then habari hizo zinageuka kua Propaganda πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Wakupuliza wewe mwenye real assessing ungetoa mkuu? Mimi siko Iliyokua KGB au CIA, mwenzangu una vyanzo vya habari!
πŸ˜„πŸ˜„ Kumbe tunavyokuaga tunajadili humu mambo ya kivita tunakuaga sisi Ni military analysts sio?πŸ˜„πŸ˜„ Interesting
 
yani hata nnchi yenyewe haiwezi kutoa data za ukweli lazima ijiweke kimwamba masilaha kama yote kipomo ni hapo ground mazee muulize Russia...
Kwa hiyo Data za Russia unazijua ?Tuliona Soviet Union inaangukia pua hatukuamini!
 
πŸ˜„πŸ˜„ Inapokuja suala la US/NATO kua na less nuclear warheads kulinganisha na Russia then habari hizo zinageuka kua Propaganda πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
sawa mlijitapa hivi hivi na kwamb mnaweza ikamata Ukraine ndani ya siku kadhaa Leo mnakimbiza mikono kwenye nuke wacha inyeshe tutaona panapo vuja.
 
Weka source hapa ikionyesha Russia ilisema inaenda kuikamata Ukraine ndani ya siku Chache.

Na ukishindwa kuweka hio source then toka hapo ya nyumba angalia juu na ujipige pige kifua Mara 3 huku ukisema hakika Mimi nilipewa kichwa kwa ajili ya kufugia nywele tu πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Sjui mafala mnasupoti Nuclear kwanini!!!πŸ˜ƒkwani hamjui manuclear wazungu wakijipiga wenyewe bado maji tunayoyakunywa Afrika na hewa pia yataharibika!!!!πŸ„
Ingekuwa mimi ngesema wachinjane tu na wafanye vyote Ila NUCLEAR!!!! Is a NO!!πŸ—£οΈ
 
Kitendo tu cha kujadili mambo ya vita we military analyst to some extent!
πŸ˜„πŸ˜„ Wewe Kama military analyst umeshawahi kufanya kazi kwny agency gani?

Maana Leo ndio Nimejua Kuna mambo kabla ya kuyajadili inabidi uwe umeshakua KGB au CIA.
 
πŸ˜„πŸ˜„ Kumbe tunavyokuaga tunajadili humu mambo ya kivita tunakuaga sisi Ni military analysts sio?πŸ˜„πŸ˜„ Interesting
Mkuu kitendo tu cha kujadili vita, au nuclear capabilities inatufanya tuwe military analysts...
 
Weka source hapa ikionyesha Russia ilisema inaenda kuikamata Ukraine ndani ya siku Chache.

Na ukishindwa kuweka hio source then toka hapo ya nyumba angalia juu na ujipige pige kifua Mara 3 huku ukisema hakika Mimi nilipewa kichwa kwa ajili ya kufugia nywele tu πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
hata nikiweka bado utabisha tu mana hata huyo Putin mwenyewe ni mtu wa kuongea hivi kesho hivi anategemea upepo wa vita ulivyo vipi wewe mrusi wa igunga ukubali alicho kisema jana ..?
 
πŸ˜„πŸ˜„ Wewe Kama military analyst umeshawahi kufanya kazi kwny agency gani?

Maana Leo ndio Nimejua Kuna mambo kabla ya kuyajadili inabidi uwe umeshakua KGB au CIA.
Wewe ndio unasema! We all doing a very limited assessment /discussion kutokana na ufahamu wetu! Source zetu za information ni ndogo sana na ziko biased!
 
Mkuu kitendo tu cha kujadili vita, au nuclear capabilities inatufanya tuwe military analysts...
Ni kweli,ndio maana hapa bongo kwny hivi vijiwe vyetu vya kahawa wanakobishana khs Simba na Yanga kile kutendo Cha wao kubishana tu kinawafanya wabishani kua wachambuzi wa Michezo.
 
hata nikiweka bado utabisha tu mana hata huyo Putin mwenyewe ni mtu wa kuongea hivi kesho hivi anategemea upepo wa vita ulivyo vipi wewe mrusi wa igunga ukubali alicho kisema jana ..?
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Maneno meeeeeeeeeeeeeeeengi,weka source hapa.
 
Back
Top Bottom