TANZIA Joel Misesemo afariki dunia kwa kujirusha kutoka ghorofani jengo la Derm eneo la Makumbusho, Dar

Mimi toka rafiki yangu Deo aliyekuwa anawaona wanaojinyonga kama vile hawana akili na yeye akaja kula kitanzi tena mwenyewe baada ya kumfukuza mkewe chumbani haya mambo ya kujiuwa nimekuwa nikiyachukulia kwa kiasi sana.

Naamini hawa wanaojiuwa hadi kufikia hatua hiyo huwa wanapitia moment moja mbaya na ngumu sana isiyoelezeka!wanaume kinachotuumiza siyo wasemaji sana wa yanayotukwaza na siwalaumu,personally siuoni uwezekano wa kusema kwa yeyote nikipata changamoto mbaya zihusuzo maisha hasa ya ndoa that's why kila siku namuomba Mungu aendelee kunipa utulivu ktk familia kuliko kitu chochote.
 
Hapo derm plaza floor ya tatu kuna dem alikuwa anafanya massage ,aisee ukizidiwa unamlaa humo humoo full rahaa ......

Yule mmiliki wa samaki samaki zote ,lilikuwa chimbo lake na wamasai wake kama walinzi jion lazima akakandwe pale ....

Ai
 
Hiyo ni chronic depression...ukimuelezea mtu anaweza asiamini kama kweli unaumwa maana kwa nje unaonekana upo kawaida tu ila kichwani kuna machafuko ya hatari.

Ni vyema kujitahidi kuwa karibu na Mungu na pia kujichanganya na watu, unapojifungia ndani peke yako ndio unazidi kuuchochea huu ugonjwa na demons/devils wanachukua hii nafasi ambayo unakuwa vulnerable kuanza kukupa evil suggestions kuwa njia ya kutatua matatizo yako ni KUJIUA ili upumzike. Hayo mawazo hujirudia kwa kasi ya ajabu moaka mtu anaamua kuukatisha uhai wake.

Ukijiona una matatizo yanasumbua akili yako mtafute rafiki yako wa karibu , kaa chini umueleze yanayokusibu ili upunguze mzigo mzito wa mawazo kifuani na akilini mwako.
 
Duuu! Hii hali isikie tu kwa mwenzako ni shida
 
Huwezi jua labda wauwaji walisogeza gari la Marehemu eneo la tukio ili kupoteza uchunguzi!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
CCTV camera zilimuonesha akijirusha mwenyewe bila kuwepo mtu. Aliongea sana kwa simu muda mrefu toka hiyo saa 11 alfajiri mpaka saa 12 kasoro alipoamua sasa kujirusha. Uzuri maongezi watayapata TCRA yote.
 
Wengi ni wale" HAKUNA AMBACHO SIJAWAI FANYIA".
Wanaume ni wagumu sana kujifunza!.
 
Bora kajiua bila kusema shida ila angethubu kusema angekula kashfa Hadi ashangae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…