TANZIA Joel Misesemo afariki dunia kwa kujirusha kutoka ghorofani jengo la Derm eneo la Makumbusho, Dar

CCTV camera zilimuonesha akijirusha mwenyewe bila kuwepo mtu. Aliongea sana kwa simu muda mrefu toka hiyo saa 11 alfajiri mpaka saa 12 kasoro alipoamua sasa kujirusha. Uzuri maongezi watayapata TCRA yote.
Police watoe report baada ya kumohoji aliye kuwa anaongea naye kabla ya kujirusha
 
Mimi nasema vizuri tuu na uzuri Huwa natukana vinaisha ila ukijifanya mwamba utakuja kujitia kitanzi Ufe Kwa aibu Kwa kujinyea kisa kujinyonga au kujirusha gorofani kama huyu Jamaa amejiua kama Msoga.
 
Stori ya shuhuda ni ukweli au uzushi?, maelezo yake: ''Inasikitisha kaamua kukatisha uhai wake... majirani walisikia kishindo ndio kutoka kuangalia mtu kajirusha (ina maana hakuna aliyeshuhudia akijirusha, sasa wanasemaje kajirusha?) .....

Ameumia sana hauwezi kumtambua ila wanasema anaonekana ni mwenyeji wa hapa (sasa hapo mwanzo ilikuwaje akasema marehemu huwa anakwenda kuswali kweli hilo jengo halafu hapo hapa akakiri kaharibika hawezi kutambulika?)''


Bongo nyoso sana
 
Stress na frustration za maisha
 
Ma MC na ambao ni wanasaikolojia wengi hapa mjini ni watu wake wa karibu na wanaofahamiana sana na ukifuatilia ni mtu alikuwa anawapa watu ushauri wa maisha etc...sasa imekuwaje? Wanasaikolojia wote hao waliomzunguka hakuna hata mmoja aliona tatizo na kumsaidia....
 
Tatizo wangapi wanayajua haya uliyoyaandika hapa?

Huyo niliyemtaja hapo juu tulikuwa wote na jamaa zetu wawili saa kumi na mbili jioni tukaagana wote tunacheka na kufurahi tukiahidiana kuonana kesho but saa tatu napigiwa simu amejinyonga,ni wachache sana wanaojishusha mbele ya changamoto maana kila mwanaume anaamini gumu lolote atalishinda hafikirii hicho mnachoita depression demos sijui devils.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…